Kilasi Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 2,325
- 724
Kama Samia ana uza na bunge DPW Wana nunua.Ilimuradi bei na masharti waandike wao.Bunge liuzwe tu 😁😄😁
Kama Samia ana uza na bunge DPW Wana nunua.Ilimuradi bei na masharti waandike wao.Bunge liuzwe tu 😁😄😁
Mwigulu na chawa wake haoJamani mbona muda wa kampeni bado chawa mmeshaanza fujo
Unauhakika huyo Samia atafika 2030Ndo mrithi wa Samia hapo 2030
Nani wa kumuzuia asifike?Unauhakika huyo Samia atafika 2030
Moja ya viongozi hopeless katika hii nchiMwigulu Lameck Nchemba
Toa upuuzi wako!Busisi huko ni 80% sasa kukamilika na ni matunda ya tozo hayo.
MunguNani wa kumuzuia asifike?
Rais wa maweKama aliweza kuchapisha mawe yote pembezoni mwa barabara kuu kuanzia Msamvu mpaka nzega atashindwa vipi kuja na multiple IDs?
Mamiradi yanatembea speed Mia ishirini shwaaaa matunda ya tozo hayo.Toa upuuzi wako!
Kwenye huu uzi zipo tatu. Kwingne huko nimeikuta moja Mnyiramba yan so muda ataichafua jfKama aliweza kuchapisha mawe yote pembezoni mwa barabara kuu kuanzia Msamvu mpaka nzega atashindwa vipi kuja na multiple IDs?