Kama ni mapenzi yake inshalah Ila Kama atakuwa hai lazima amalizie muhula wake wa pili!Mungu
Hivi nyie waandika kwenye mawe 'MWIGULU NCHEMBA 2015' mmetokea wapi tena? Mtaacha lini kujikomba kwa empty set kama Mwigulu?Kama Taifa na hasa kwa vijana wasomi utaungana nami katika hili naloenda kuzungumzia Leo ! Very short Mwigulu Lameck Nchemba ni habari nyingine aisee ! Kwa mambo ambayo ameyafanya kwa mda mfupi Sana tunakila sababu ya Kumshukuru hasa wazazi wake waliomsomesha na hasa kusomea uchumi sijui aliwaza Nini ?
Kumbuka zamani masomo kama hayo ya Uchumi wazazi wetu walikua hawatushauri kuyasoma kwa kuamini hayana nguvu kwenye soko la ajira lakini huyu mtu akajitoa mhanga na kusomea hayo masomo kweli hicho kitu kiliishii ndani yake mpaka amekua msaada mkubwa Sana kwa Nchi yetu
Hakika ni jambo fikirishi Sana aisee duhkwa namna Dunia Ilivyopitia majanga kibao ya kudorora kwa uchumi lakini taifa letu limesimama imara mjirani zetu mpaka wanashindwa kulipa mishahara lakini kwa Nchi yetu hizo habari hatuna kwanini tusimpongez Mh Rais na Waziri wetu kwa Mapambano makubwa waliyoyafanya kutufikisha hapa
Kesho tu hapo tarehe 15 /6/2023 itasomwa budget kuu ya Serikali kwa wafuatiliaji wamekubali kwamba hii budget ni mziki mnene imegusa mambo yote muhimu imegusa maisha halisi ya Mtanzania Tunasubiri kwa hamu kubwa Sana kuisikia hapo kesho ikichakatuiwa na Mwamba Mwigulu Lameck Nchemba
Anachokifanya Mwigulu ni kama alikua anafanyiwa interview Rais wa Marekani kwa swali la utaisaidiaje nchi kupanda zaidi kiuchumi hutakiwi kujiuliza majibu yake ndiyo haya ambayo Mwigulu Lameck Nchemba anayafanya kwa Nchi yake akiwa Waziri tu akimsaidia Rais kutimiza maono yake juu ya taifa hili . Tusisahau kuwa Rais ni mbeba maono na watu wa chini yake humsaidia Ili kuyafanikisha na kuwa ni uhalisia tumeyaona hayo
Yes Ndiyo maana nimesema Mwigulu Lameck Nchemba ni habari nyingine View attachment 2657175
Kuanzia Tunduru hadi Sirari, Tunduma hadi Mutukura, Mbaba Bay hadi NamangaKama aliweza kuchapisha mawe yote pembezoni mwa barabara kuu kuanzia Msamvu mpaka nzega atashindwa vipi kuja na multiple IDs?
Sasa mod si waunganishe tu hizo IDAnaanzisha mada anajibu mwenyewe
Anastahili kwa kweli maana wananchi wana mahela serikali ina mahela miradi inasonga reserve ya dollars ndo mpaka yana mwagika.... aiseeh unastahili kuolewa na warabu wanne mashababi mtoa madaKama Taifa na hasa kwa vijana wasomi utaungana nami katika hili naloenda kuzungumzia Leo ! Very short Mwigulu Lameck Nchemba ni habari nyingine aisee ! Kwa mambo ambayo ameyafanya kwa mda mfupi Sana tunakila sababu ya Kumshukuru hasa wazazi wake waliomsomesha na hasa kusomea uchumi sijui aliwaza Nini ?
Kumbuka zamani masomo kama hayo ya Uchumi wazazi wetu walikua hawatushauri kuyasoma kwa kuamini hayana nguvu kwenye soko la ajira lakini huyu mtu akajitoa mhanga na kusomea hayo masomo kweli hicho kitu kiliishii ndani yake mpaka amekua msaada mkubwa Sana kwa Nchi yetu
Hakika ni jambo fikirishi Sana aisee duhkwa namna Dunia Ilivyopitia majanga kibao ya kudorora kwa uchumi lakini taifa letu limesimama imara mjirani zetu mpaka wanashindwa kulipa mishahara lakini kwa Nchi yetu hizo habari hatuna kwanini tusimpongez Mh Rais na Waziri wetu kwa Mapambano makubwa waliyoyafanya kutufikisha hapa
Kesho tu hapo tarehe 15 /6/2023 itasomwa budget kuu ya Serikali kwa wafuatiliaji wamekubali kwamba hii budget ni mziki mnene imegusa mambo yote muhimu imegusa maisha halisi ya Mtanzania Tunasubiri kwa hamu kubwa Sana kuisikia hapo kesho ikichakatuiwa na Mwamba Mwigulu Lameck Nchemba
Anachokifanya Mwigulu ni kama alikua anafanyiwa interview Rais wa Marekani kwa swali la utaisaidiaje nchi kupanda zaidi kiuchumi hutakiwi kujiuliza majibu yake ndiyo haya ambayo Mwigulu Lameck Nchemba anayafanya kwa Nchi yake akiwa Waziri tu akimsaidia Rais kutimiza maono yake juu ya taifa hili . Tusisahau kuwa Rais ni mbeba maono na watu wa chini yake humsaidia Ili kuyafanikisha na kuwa ni uhalisia tumeyaona hayo
Yes Ndiyo maana nimesema Mwigulu Lameck Nchemba ni habari nyingine
View attachment 2657175
Punguza aibu ndogo ndogoBusisi huko ni 80% sasa kukamilika na ni matunda ya tozo hayo.