Mwigulu mtu mwingine aisee

Mwigulu mtu mwingine aisee

Kama Taifa na hasa kwa vijana wasomi utaungana nami katika hili naloenda kuzungumzia Leo ! Very short Mwigulu Lameck Nchemba ni habari nyingine aisee...
Wewe ndiye yule nke n'dogo wa Mwigulu au ni kimada wake tu?
 
Kama Taifa na hasa kwa vijana wasomi utaungana nami katika hili naloenda kuzungumzia Leo ! Very short Mwigulu Lameck Nchemba ni habari nyingine aisee...
Ilinibidi nirudi kuangalia jina juu, kumbe ni mgeni humu au Mwigulu umekuja na jina jipya. ( I'd mpya).

Kifupi hizi bajeti huwa mnazisifia ninyi wenye maslahi nazo ( WANASIASA) kwa Mwananchi wa kawaida hazina jipya lolote lile.

2022/2023 mliisema ni bajeti ya mwananchi lakini huku vijijini haina tija yoyote wala maajabu yoyote.
 
Kama Taifa na hasa kwa vijana wasomi utaungana nami katika hili naloenda kuzungumzia Leo ! Very short Mwigulu Lameck Nchemba ni habari nyingine aisee ! Kwa mambo ambayo ameyafanya kwa mda mfupi Sana tunakila sababu ya Kumshukuru hasa wazazi wake waliomsomesha na hasa kusomea uchumi sijui aliwaza Nini...
Umevuta chako nawe siyo CHUKUA CHAKO MAPEMA(CCM)
 
Back
Top Bottom