Mwigulu mtu mwingine aisee

Mwigulu mtu mwingine aisee

Kakwambia niTanzania pekee Hilo tatizo a Dunia kima wewe huoni Kenya mpaka wanashindwa kulipa mishahara wafanyazi umeona likitokea hapa kwetu hujaona maandamano Kenya hapa kwetu umeyaona wapi
 
Kama yake Kuna shida Gani watu waliiuza Chelsea sembuse Singida ?
 
Hahaha kipara unateseka Sana ukiona watu wanaandika machapisho ya Mwigulu Sasa ngoja uone
 
Kama mjanja sio kinyeo onesha I'd Yako
 
Wakati ukifika hamtaweza kufuta hata jasho lenu
 
Naona wahuni wamevamia JF wanatukana matusi na kumuita kila mtu mfuasi wa kipara. Shida kweli.
 
Kama akili huna hayo ndio utakayotoka nayo
 
Back
Top Bottom