Mwigulu mtu mwingine aisee

Mwigulu mtu mwingine aisee

Ndio akili Yako hoja yangu ipo kwenye Uzi sijui Yako ni ipi ?
 
Kama Taifa na hasa kwa vijana wasomi utaungana nami katika hili naloenda kuzungumzia Leo ! Very short Mwigulu Lameck Nchemba ni habari nyingine aisee...
Mkuu kuna jamaa wapo very aggressive kupush agenda za kusifia so wanaomba connection kuhusu hili ili nao waingizwe kweny payroll!! Majibu tafadhali....
 
Kabisa. Mabasi ya Esther yanamlipa sana. Na utasikia Kodi katika mabasi imepunguzwa.
 
Nilistuka nilijua bado siku moja uchafuzi ufanyike
 
Mwigulu Nchemba umeamua kujipigia debe mwenyewe. Urais hupati ng'o !!!!
 
Back
Top Bottom