Nilifikiri mtu wa maana kumbe anajifananisha na dikteta! hafai hata chembe.
DADA una tatizo gani na mwalimu?
Unyerere umevamiwa!!
Unyerere umevamiwa!!
Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba asema watu wanamfananisha na hayati baba wa taifa Julius Nyerere kwakuwa anasimamia maswala yenye maslahi kitaifa bila uoga
CHANZO: NIPASHE
.................................................... hakueleweka kwa watu wengi alichokisema Mwigulu ni kwamba yeye ni mku ndu wa Nyerere.
You are so notorious!
Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba asema watu wanamfananisha na hayati baba wa taifa Julius Nyerere kwakuwa anasimamia maswala yenye maslahi kitaifa bila uoga
CHANZO: NIPASHE
Huyu si mjinga bali ni mpumbavu. Nyerere gani aliyeamrisha mtu amwagiwe tindi kali ili asingizie Chadema? Bullshit!Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba asema watu wanamfananisha na hayati baba wa taifa Julius Nyerere kwakuwa anasimamia maswala yenye maslahi kitaifa bila uoga
CHANZO: NIPASHE