manning
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 5,093
- 11,948
Rais ni Dr Slaa
Mtoto wa kike una akili ya kutakata. Huo ndo ukweli wameze wateme shauri yao
Rais ni Dr Slaa
Nadhani sasa safari ya Mwigulu kwenye siasa inaanza kuingia kwenye kiza kinene kwa kumponda prince.Baada kuulizwa maswali na vijana wa Iramba walioko Mwanza kuhusu nyendo za wana CCM kuanza kupigana vikumbo kuelekea 2015 hasa mtoto wa rais kuwa mstari wa mbele kumsaidia mgombea mmoja, Bw. Mwigulu alisema kwamba Wanairamba wasidanganyike. Huyo mtoto wa Rais anahaha kuikoa ngozi yake kutokana matendo yake ya kifisadi. Yeye siyo rais. Baba yake ndio Rais. Rais ni mmoja tu 2015. Na kama walivyoidhibit CHADEMA na kuisambaratisha CUF, hao-wengine, sijui, Membe, sijui, Sitta, wote tutawadhibiti. Rais ajaye kila mtu anamjua. Juzi mmemuona hapa mwanza. Anaitwa rais kabla haja apishwa.
Baada kuulizwa maswali na vijana wa Iramba walioko Mwanza kuhusu nyendo za wana CCM kuanza kupigana vikumbo kuelekea 2015 hasa mtoto wa rais kuwa mstari wa mbele kumsaidia mgombea mmoja, Bw. Mwigulu alisema kwamba Wanairamba wasidanganyike. Huyo mtoto wa Rais anahaha kuikoa ngozi yake kutokana matendo yake ya kifisadi. Yeye siyo rais. Baba yake ndio Rais. Rais ni mmoja tu 2015. Na kama walivyoidhibit CHADEMA na kuisambaratisha CUF, hao-wengine, sijui, Membe, sijui, Sitta, wote tutawadhibiti. Rais ajaye kila mtu anamjua. Juzi mmemuona hapa mwanza. Anaitwa rais kabla haja apishwa.
siyo mwigulu na lowasa,nape na nani?!ni hivi lowasa anakubalika na wanaccm 98%,so kwa evaluation hyo utajua kuwa lowasa ndo mpango mzma!wito kwa kundi la M2015 tuungane pamoja kwa manufaa ya nchi na ccm kwa ujumla
Haya ni majitaka toka kimywani mwa mleta uzi. Kule hakuna mtu wa kujihakikishia nafasi kwani kule kuna democrasia sio kama kwenu UCHAGANI
Lowassa hawezi kuwa rais
huyu anahonga makanisani na misikitini hizo hela anazipata wapi kama sio zile alizoiba anarudisha kijanja janja?
CCM wakimpa Lowassa nafasi hiyo wajiulize anahonga ili aingie ikulu kutafuta nini huko?
akauze nchi arudishe fedha zake, thats all.
wana CCM mkidanganyika hapa ndio mjue chama chenu kitafutika katika siasa kama KANU.
EL akiwa rais natembea uchi mwaka mzima
(red)Unaweza kudhani unasubiri ili uone ukawa wewe ndo hufiki huko kuona...Wako waliosema JK hafiki 2010...wao ndio walishaondoka!! Chunga mdomo wako!Kwa afya yake hiyo yenye mgogoro,atatoboa kweli? Hivi humuoni kuwa Sikh hizi anatembea upande upande kama Fiat 682(Lori La zamani,maarufu kama Mbaula)iliyokata Senta bolt!?
Mmmh! Mzee anatetemeka mikono utadhani kapigwa shoti ya umeme. Ngoja tusubirie tuone maana mud a back haujafika.tutasikia mengi sana mwaka kesho.Mungu atupe uzima.
Political immaturity.....!
(red)Unaweza kudhani unasubiri ili uone ukawa wewe ndo hufiki huko kuona...Wako waliosema JK hafiki 2010...wao ndio walishaondoka!! Chunga mdomo wako!
Juma Nkamia atosha 2015..
Aliiba wapi? Kama una usahhidi wa wizi huo uweke hadharani. Kila mwanasiasa anatumia alichonacho kufanikisha malengo yake.
kwa akili yako ya kawaida unadhani huo utajiri kaupata wapi?
tumia akili yako kufkiria ndugu la sivo utabaki kuwa maskini wa mawazo siku zote.
hakuna asiejua ufisadi wake wala sihitaji kutoa ushahidi zaidi kawaulize Mwakyembe and sita company.
sina haja ya kumsifia,
Nyerere alishatuasa tuwe macho na watu wanaohonga ili kuingia ikulu
pale ni mahala patakatifu