Mwigulu: Membe, Sitta Hawatapata Urais

Mwigulu: Membe, Sitta Hawatapata Urais

Status
Not open for further replies.
this what we called inmaturity minded shit.
 
mti wenye matunda.......!lowasa ni kama methali hii,nenda lowasa
 
CCM imekuwa kama pombe za ngomani tu, kila mtu anajichotea kadiri awezavyo!
 
Suala siyo majina tu wana JM, kwetu wengine ambao hatuna itikadi za kivyama tunahitaji zaidi kushawishiwa kwa nini mnadhani hau manaowabigia debe wanafaa kushika uongozi wa juu wa nchi hii ambao ambao kwa namna moja ua nyingine kwa sasa umeyumba na kukosa mwelekeo. Kwa hiyo mnapotekeleza wajibu wenu kuweka majina na kuyaimba humu nendeni hatua zaidi kufanya uchambuzi wa kina ili tuweze kuwaamini kuwa mnaelewa mnachoshabikia.
 
Baada kuulizwa maswali na vijana wa iramba walioko Mwanza kuhusu nyendo za wana CCM kuanza kupigana vikumbo kuelekea 2015 hasa mtoto wa rais kuwa mstari wa mbele kumsaidia mgombea mmoja, Bw. Mwigulu alisema kwamba wanairamba wasidanganyike. Huyo mtoto wa Rais anahaha kuikoa ngozi yake kutokana matendo yakw ya kifisadi. Yeye siyo rais. Baba yake ndio Rais. Rais ni mmoja tu 2015. Na kama walivy idhibit chadema na kuisambaratisha cuf, hao-wengine, sijui, Membe, sijui, sita, wote tutawadhibiti. Rais ajaye kila mtu anamjua. Juzi mmemuona hapa mwanza. Anaitwa rais kabla haja apishwa.

sidhani habari hizi zina ukweli, tuletee ushahidi. na ikiwa ni ukweli basi slaa atapita
 
Baada kuulizwa maswali na vijana wa Iramba walioko Mwanza kuhusu nyendo za wana CCM kuanza kupigana vikumbo kuelekea 2015 hasa mtoto wa rais kuwa mstari wa mbele kumsaidia mgombea mmoja, Bw. Mwigulu alisema kwamba Wanairamba wasidanganyike. Huyo mtoto wa Rais anahaha kuikoa ngozi yake kutokana matendo yake ya kifisadi. Yeye siyo rais. Baba yake ndio Rais. Rais ni mmoja tu 2015. Na kama walivyoidhibit CHADEMA na kuisambaratisha CUF, hao-wengine, sijui, Membe, sijui, Sitta, wote tutawadhibiti. Rais ajaye kila mtu anamjua. Juzi mmemuona hapa mwanza. Anaitwa rais kabla haja apishwa.

Mwigulu nilikuwa nakuchukia kama busha lakini siku ya leo umeongea point yaani umenikuna EDDO,EDDO, EDDO, EDDO, EDDO, EDDO, EDDO, EDDO, EDDO .

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
Baada kuulizwa maswali na vijana wa Iramba walioko Mwanza kuhusu nyendo za wana CCM kuanza kupigana vikumbo kuelekea 2015 hasa mtoto wa rais kuwa mstari wa mbele kumsaidia mgombea mmoja, Bw. Mwigulu alisema kwamba Wanairamba wasidanganyike. Huyo mtoto wa Rais anahaha kuikoa ngozi yake kutokana matendo yake ya kifisadi. Yeye siyo rais. Baba yake ndio Rais. Rais ni mmoja tu 2015. Na kama walivyoidhibit CHADEMA na kuisambaratisha CUF, hao-wengine, sijui, Membe, sijui, Sitta, wote tutawadhibiti. Rais ajaye kila mtu anamjua. Juzi mmemuona hapa mwanza. Anaitwa rais kabla haja apishwa.

nchi hii haiitaji bora rais. tunataka rais bora. mmnaweza mkampigia debe huyo ambaye mko nae sasa hivi ila sie hatumtaki. halafu we mwingilu acha kuongea pumba. tena usithubutu kuongea kusema kwenye hayo majukwaa yenu kuwa mnaweza ku-control watu. usitafute-popularity.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom