kilombero yetu
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 1,004
- 117
mwigulu hakutamka maneno hayo
mwigulu nakuunga mkono 100%,ni lowasa tu 2015,hao wengne ni wanafiki wakubwa membe na sitta,!lowasa lowasa lowasa lowasa hata ukimuuliza mtoto mdogo anajua rais atakuwa edward lowasa 2015
mchumi number moja Tanzania akiwa kazini...Baada kuulizwa maswali na vijana wa Iramba walioko Mwanza kuhusu nyendo za wana CCM kuanza kupigana vikumbo kuelekea 2015 hasa mtoto wa rais kuwa mstari wa mbele kumsaidia mgombea mmoja, Bw. Mwigulu alisema kwamba Wanairamba wasidanganyike. Huyo mtoto wa Rais anahaha kuikoa ngozi yake kutokana matendo yake ya kifisadi. Yeye siyo rais. Baba yake ndio Rais. Rais ni mmoja tu 2015. Na kama walivyoidhibit CHADEMA na kuisambaratisha CUF, hao-wengine, sijui, Membe, sijui, Sitta, wote tutawadhibiti. Rais ajaye kila mtu anamjua. Juzi mmemuona hapa mwanza. Anaitwa rais kabla haja apishwa.
CCM ni kama ukoo wa panya......(By Nasari)Heri Mbu wakae ikulu kuliko CCM, ni heri NRA waingie ikulu kuliko CCM kubaki sehemu hiyo, kila mtu anapigwa risasi hiyo ni ikulu au kijiweni???