Mwigulu: Membe, Sitta Hawatapata Urais

Mwigulu: Membe, Sitta Hawatapata Urais

Status
Not open for further replies.
CCM imejazwa na wahuni wengi tu na wazandiki wa hali ya juu..vyovyote iwayo vile kumpigia kura kiongozi yoyote wa CCM kwenye chaguzi yoyote yenye uwakilishi wa wananchi na sawa na kumpigia fisadi kura,DR SLAA ndio chaguo langu hakika
 
wapambe wa lowasa wana vijiwe vyao akiwepo na mtoto wake fred maeneo mikocheni kuna kibaa na pale tamal hotel kuanzia saa mbili utawakuta maeneo hayo wanakula bata na kujadiliana jinsi gani baba yao akiwa raisi watakavyo kula gooodtime na ukiwakuta wanaongea wanavyo mponda riz one utapenda mmwenyewe....na ukiwakuta wanamsifia miraji vile vile utapenda mwenyewe
 
Lowasa mwendo mdundo 2015,nyota yake yazidi kungaaa kila pembe ya Tanzania
 
Baada kuulizwa maswali na vijana wa iramba walioko Mwanza kuhusu nyendo za wana CCM kuanza kupigana vikumbo kuelekea 2015 hasa mtoto wa rais kuwa mstari wa mbele kumsaidia mgombea mmoja, Bw. Mwigulu alisema kwamba wanairamba wasidanganyike. Huyo mtoto wa Rais anahaha kuikoa ngozi yake kutokana matendo yakw ya kifisadi. Yeye siyo rais. Baba yake ndio Rais. Rais ni mmoja tu 2015. Na kama walivy idhibit chadema na kuisambaratisha cuf, hao-wengine, sijui, Membe, sijui, sita, wote tutawadhibiti. Rais ajaye kila mtu anamjua. Juzi mmemuona hapa mwanza. Anaitwa rais kabla haja apishwa.

Anajidanganya Labda kawadhibiti kina Membe ...lkn CDM si kweli! Dr Slaa ndie raisi wetu ajae...wajiandae kurusha marisasi tu!
 
mwigulu nakuunga mkono 100%,ni lowasa tu 2015,hao wengne ni wanafiki wakubwa membe na sitta,!lowasa lowasa lowasa lowasa hata ukimuuliza mtoto mdogo anajua rais atakuwa edward lowasa 2015

Kwa afya yake hiyo yenye mgogoro,atatoboa kweli? Hivi humuoni kuwa Sikh hizi anatembea upande upande kama Fiat 682(Lori La zamani,maarufu kama Mbaula)iliyokata Senta bolt!?
Mmmh! Mzee anatetemeka mikono utadhani kapigwa shoti ya umeme. Ngoja tusubirie tuone maana mud a back haujafika.tutasikia mengi sana mwaka kesho.Mungu atupe uzima.
 
lowasa nenda baba!watanzania wenzangu na wanajf lowasa ni mtu sahihi kuwa rais 2015,tuweke itikadi zetu pembeni tumtie moyo huyu mwenzetu,ni mtu sahihi

let us be realistic jamani. We all know Lowassa will be just the presidential candidate. That is enough for him to say he even contested the biggest position of his country
 
sokoinei!nimekupata vema!lowasa ni mzima tena wa afya tele!nukuu akiwa uwanja wa ndege,alisema yuko fiti tayari kwa mapambano ya aina yoyote ile!acha wivu na kebehi
 
ningependa kujua kile kipengele kwenye katiba ya ccm cha kuwa rais hatokei mikoa ya kaskazin wamekifanyia marekebisho?
 
siyo maneno yake huwa haongei hivi fumbo mfumbie mjinga.
 
nyingi ni swaga tu ukweli wanao watanzania wenyewe wala huwezi kuwadanganya watu kwa post za uongo.
 
Hiv kwanini dogo anajiamini sanaaaaaaaaaaaa.... ata ukikutananaye nje ya siasa majukwaani, yan anajiamini sanaaa.

ILA MUNGU YUPO NA WENGI.
 
Kama kweli haya maneno yametoka kwa Mwigulu ambaye ni Katibu mkuu msaidizi wa CCM basi chama kinaelekea kubaya. Tusubiri maziko yake tu.
 
BAVICHA kwa uongo kamwe hamtaweza kuwadanganya watanzania wote mtahangaika sana na Mwigulu mwisho wa siku atawaacha solemba.
 
Mwigulu na Lowassa? Then Nape na nani?
 
Kama kweli haya maneno yametoka kwa Mwigulu ambaye ni Katibu mkuu msaidizi wa CCM basi chama kinaelekea kubaya. Tusubiri maziko yake tu.

hakuna kiongozi wa CCM anayeweza kuongea maneno kama haya CCM ni chama chenye maadili haya ni maneno ya vijana wa BAVICHA tu yaliyokosa mwelekeo na matumaini.
 
CCM imejazwa na wahuni wengi tu na wazandiki wa hali ya juu..vyovyote iwayo vile kumpigia kura kiongozi yoyote wa CCM kwenye chaguzi yoyote yenye uwakilishi wa wananchi na sawa na kumpigia fisadi kura,DR SLAA ndio chaguo langu hakika

well and good ni kweli slaa ni chaguo lako siyo la watanzania utamchagua wewe na utaenda naye nyumbani kwako akakutumikie wewe na familia yako mkuu hatuwezi kuongozwa na mtu aliyekosa uadilifu mpaka kwa wake za watu.
 
siyo mwigulu na lowasa,nape na nani?!ni hivi lowasa anakubalika na wanaccm 98%,so kwa evaluation hyo utajua kuwa lowasa ndo mpango mzma!wito kwa kundi la M2015 tuungane pamoja kwa manufaa ya nchi na ccm kwa ujumla
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom