Mwigulu, huu ni uzembe mwingine wa jeshi la polisi

Unadhani kuna atakaetumbuliwa hapa? Maana hali inaonesha shwari kabisa, mambo haya hata redio ya hapa wilayani hawajatangaza... Utasema hakuna kilichotokea
Yaani umeileta hapa JF ndo basi tena hapo kuna watu watasumbuliwa,zama hizi ni zama hatar sana labda ashuke Malaika aje aifungie mitandao ya kijamii
 
Wameumbuka, kumbe gari za serikali ya Magufuri zinatumiwa hovyohovyo namna hii!!??
Nilishawah kubebwa na mkurugenz wa halmashaur flani kwenye shangingi lake,aah alikua anasanya abiria vizur tu,plate number SM
Hela anapokea DED mwenyewe sio DEREVA
 
Kesho utaskia Polisi inamsaka alopiga picha gari la polisi lililopata ajali,wadai taarifa za mtoa mada wamkamata Melo
 
Alafu hizo baa za police uwa zinafungiliwa asubuhi watu wanalewa si ndio maana huko hakuna kuhoji...........

Kama wanaweza tumia mafuta ya kodi za wananchi kufuata bia kweli nchi ni ya hovyo sana...........

CC:Mwigulu Nchemba
Taarifa ila ina ngazi zake husiku
 
Kesho utaskia Polisi inamsaka alopiga picha gari la polisi lililopata ajali,wadai taarifa za mtoa mada wamkamata Melo
Police ni kweli waonezi haswaa tangu wapewe ruksa kuchukua ela ya kiwi.....Mkuu Wa mkoa ye kawafukuza wamachinga baba jonas kawarudisha na hata police Mwigulu hawezi kuwakataza kuchukua ela ya kiwi.
 
Kwani we ni traffic kiasi cha kujua makosa yalikua ya nani???, hafu unasema eti gari ya polisi ilienda kuchukua via za polisi. Which iz which.....!. Hv panya was msikitini akatafune Biblia Kansani?. Majungu hayo.
 
Back
Top Bottom