Mwigulu, huu ni uzembe mwingine wa jeshi la polisi

Hongera sana mtoa taarifa, Hii taarifa imepokelewa. Na achana nao wote baadhi ya matahila wanaokubeza.

Tena kwa kauli nyepesi katika jambo zito kama hili. Nadiliki kuwaita matahila kwa hoja zao zao dharimu na dhaifu. licha ya kwamba wameona hadi ushahidi wa picha.
Mfano: mtu anaposema eti kila siku unawatuhumu polisi wetu, huyu akili yake iko timamu au ni uji mtupu? Kwani hoja hii ameona ikilipotiwa katika mtiririko upi hadi kujenga hoja ya kila siku? Nonses.

Si hilo tu. bali **** mwingine, anaetumia lugha eti acha upuuzi wa kulituhumu jeshi polisi angali mtoa maada ameonyesha hadi taarifa za masikitiko makubwa kuwa kupitia ajali hiyo tumepoteza askari. Harafu unaita kuwa hiyo ni taarifa ya kipuuzi?

Huna hoja ya kuchangia kaa kimya.
Hizi zama sio za blabla ama ubabaishaji wa kurahisisha mambo hasa unapokuja katika maisha ya watu.

Ni wakati wa kuheshimu sheria bila kujali ukubwa ama udogo wa sheria hiyo husika.

Kuanzia kwa raia hadi mamlaka mbalimbali za umma ni wajibu na haki yetu, kuhakikisha kwamba sote tupo chini na si juu ya sheria.

Pia hii izangatiwe kuwa hii ni taarifa, na si hukumu kwa jeshi la polisi.

Kwani tunatambua sote umhimu wa jeshi la polisi na ugumu wa majukumu, hususani wale wote waadirifu na Wazalendo wa taifa lao, Pamoja na wanaotekeleza majukumu yao kwa mjibu wa tarabu na sheria za nchi.

.........,.............
Kulalama kwenye mtandao kwa kutegemea huruma ya wengine hakusaidii chochote Kama linakukera chukua hatua mwenyewe
 
Weboya kweli, sikuzote kizote taarifa ndio inayofanyiwa uchunguzi,kama ni kweli au uongo hilo hubainika baada ya taalifa kutoka hata hili pia lazima lifatiliweka ili tabia za ajabu ajabu zikome ktk jesh letu
We ndo Boya kabisa!! Tatizo LA watu mliokulia maisha ya shida sijui huwa mkoje?!!
 
Mmh, Mimi napita tuuu maana nilimaliza depo yangu salaaaama!
Ila poleni wana Tandahimba kwa ajari mbaya hiyo.
 
Duuu nashindwa kuelewa mana kuna watu kumbe wanauelewa mdogo bado!!! Wameshindw ata kuelewa kwa kuona picha kwel hatar
 
Kuna magari mangapi ya serikali yanayopata ajali yakiwa kwenye shughuli binafasi hatusemi,watanzania wengi tunachuki binafsi na polisi na sio kwamba eti tunauchungu na gari la umma.
 
Lawrence Masha aliimudu vizuri Sana hii wizara anaefuatia ni Mheshimiwa Kitwanga. Huyu wa sasa sidhani Kama ataiweza. Ameshindwa kutoa ufumbuzi was maiti Saba za viroba. Alishindwa kuchunguza maiti kabla hazija fukiwa na sidhani Kama kuna kinachoendelea
 
Alafu hizo baa za police uwa zinafungiliwa asubuhi watu wanalewa si ndio maana huko hakuna kuhoji...........

Kama wanaweza tumia mafuta ya kodi za wananchi kufuata bia kweli nchi ni ya hovyo sana...........

CC:Mwigulu Nchemba
Sio nchi ya hovyo bali polisi wa eneo husika
 
Mwigulu ni mwanachama hai wa jamii forums. Hili ameliona tusubiri magazeti ya kesho.
 
Back
Top Bottom