Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iparamasa productionKitwanga si alitumbuliwa kwa sababu ya pombe..?
Haya tusubirie hili lisinema!
Alafu waziri wa mambo ya ndani anakuja humu na majibu mepesi mepesi.Alafu hizo baa za police uwa zinafungiliwa asubuhi watu wanalewa si ndio maana huko hakuna kuhoji...........
Kama wanaweza tumia mafuta ya kodi za wananchi kufuata bia kweli nchi ni ya hovyo sana...........
CC:Mwigulu Nchemba
Cc: magufuliKwa hiyo we umeona magari ya serikali kubeba pombe za biashara binafsi ni sahihi?
Hili povu hata omo inasubiri.!!acha upuuzi wa kulitupia lawama kila Siku jeshi la polisi ivi nyie mnapata raha San kila Siku jeshi la polis jesh la polis nyooo
Kama wewe ni askari uliyeandika hivi basi huna maadili na utakuwa ndiye mbeba bia kwenye gari la jeshi hilo.acha upuuzi wa kulitupia lawama kila Siku jeshi la polisi ivi nyie mnapata raha San kila Siku jeshi la polis jesh la polis nyooo
Gari la polisi kubeba bia za polisi si ni sawa tu na mchapisha magazeti kufungia vitumbua gazeti jipya!Kwa hiyo we umeona magari ya serikali kubeba pombe za biashara binafsi ni sahihi?
acha upuuzi wa kulitupia lawama kila Siku jeshi la polisi ivi nyie mnapata raha San kila Siku jeshi la polis jesh la polis nyooo
Peleka uaskari wako hukoacha upuuzi wa kulitupia lawama kila Siku jeshi la polisi ivi nyie mnapata raha San kila Siku jeshi la polis jesh la polis nyooo
Wameumbuka, kumbe gari za serikali ya Magufuri zinatumiwa hovyohovyo namna hii!!??Mkuu utawaponza vijana wetu, Sema kwa Sauti ndogo wakisikia wakubwa askari wetu watatumbuliwa
Waache polisi wetu....tena wasiwasumbue kwa sababu hizo pombe wamenunua kwa Pesa zao maana hawajawapa hata ile Pesa ya vinywaji......hzo ni pombe kwa ajili ya askari hayo ya bar we mleta mada ni manafiki tyuu
....manafiki tyuu