Mwigulu hili hapana

Yule aliyemtolea bastola Nape inasemekana ni jambazi sugu anaesakwa na mamlaka husika muda mrefu alitokea mirembe Dodoma!!

Nchi Hii!!! Mbele ya RPC mtu anatoa bastola kisha tunaambiwa hajulikani, jamani mtupe mapumziko sote sio akilinyumbu
Siku hizi uchovu hautokani na kazi zetu bali drama za hii kaya
 
Mwigulu anatafuta kutumbuliwa. Acha atumbuliwe kwani ye nani?

Amekua makonda mpaka asitumbuliwe?
 
aliyeamuru bastola irudishwe nae alikua na bastola ila hakuigusa. ila ilionekana wazi kabisa. kiunoni upande wa kulia.
 
Kaka umeua sina cha kuongeza ktk hii post nisije nikaharibu bure
 
Tunaishi ktk kipindi ambacho mitandao ya kijamii ina nguvu kuliko hizo media wanazotaka kuzibana
 
Hizo details unazozitoa mkuu ndio Sizonje asizozitaka,kama uliisikiliza ile hotuba yake kwa wamiliki wa vyombo vya habari kuwa amechukizwa sana na ile habari na picha ya yule alietoa bastola ilivyopewa airtime ktk kurasa za mbele karibia za magazeti yote nyingine zikimuonyesha wakati kaitoa nyingine wakati anarudi nyuma nyingine wakati anairudisha mfukoni yaani kwa kifupi mkuu Sizonje imemuudhi saana saaaana
 
Kwann clouds media walikodi ukumbi. Kwann hawakumuita studio akajieleza or ndio wametoa msaada kwa vyombo vingine vya habar.
 
Kwa nn na wale askari walio vamia clouds hakujitokeza na kumuagiza igp awafatilie au kwa kuwa walivaa uniform? Wao waliwatuma? Hawakupaswa kutafutwa? Mwigulu ni mnafiki na mshenzi pia.
Saaaaana tu anampaka Nape mafuta kwa mgongo wa chupa,ulafi wa madaraka ni mbaya sana unajikuta mtu unafanya maigizo hata wanao wakisikia ni aibu
 
Mwigulu naye ni msanii tu, anataka kutuaminisha kuwa wananchi hatujui kuwa hata yeye ni tiss na anafahamu mtu wa tiss hawezi kukamata hadharani bali hutoa Taarifa polisi na wao ndiyo wanaomkamata mtu
Out of topic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…