Mwigulu hili hapana

mkuu mshana jr umesahau siku hizi au awamu hii akili moja ipo shared kwenye system nzima ya uongozi!? yaani kila kiongozi kabla hajawaza ana switch off akili yake na kuswitch on akili ya POMBE na haya ndio matokeo yake
Ukishaweka hyo akili unaziba
 
Kwa nn na wale askari walio vamia clouds hakujitokeza nauagiza igp a wafatilie au kwa kuwa walivaa uniform? Wao waliwatuma? Hawakupaswa kutafutwa? Mwigulu ni mnafiki na mshenzi pia.
Amrtumia tu hiyo kauli ili kutimiza wajibu lakini hamaanishi.labda kwa sababu ni kada mwenzie anaweza kubadili gear angani akafanya kweli.lkni pia atasikiliza sauti za wazee wa chama wanamtetea je kijana wao.
 
maigizo mengine jamani ni hatari sana, Kama ni kweli kitenge naye ahojiwe

Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
Inaleta sana ukakasi kama kweli yule ni askari aliyetumwa kazi anakubalije kusukumwa kirahisi vile na "raia" Kitenge. Kitenge ni jasiri sana maana kumsukuma vile mtu mwenye bastola ni ujasiri haswa. Hii movie sijui itaisha lini maana luku inataka kukata.
 
Shikamoo kaka Mshana jr. Eti atafutwe.... na achunguzwe kama ni askari wa kweli!! Mnatuchukulia poa eh? ..............Yes the era of reasoning...... not spoon feeding
 

Mkuu Mshana kwanza hawa watu tungejuwa nyota zao kisha ndio tuangalie uwezo wao mwingine
 
kuna vitu vinafanyika nchi hii mpaka unadhani Pengine vinafanywa na majuha na wendawazimu

Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
Mwakyembe nae kaingia kichwa kichwa. Report y'a Nape ilielekezwa kwa waaliopo juu y'a nappe s'il mbadala sa nappe. Mwakyembe keshajingiza kwa masifa sa sa inamuweka kiti moto.
 
Nakuhakikishia yule si askari bali ni mtu aliyepangwa kufanya maigizo na kitenge....
Wewe nazan ndiyo muhaya mwenye ubongo wa nzii kuliko wahaya wenzio wenye super akil

Sasa ampange ili iwaje achen mambo ya ushabiki maandazi . hata la makonda kule clouds TV ile video unapinga sijui una shida gan ww
 

Nakuhakikishia yule si askari bali ni mtu aliyepangwa kufanya maigizo na kitenge....

Kwa mujibu wa video hiyo chini, je, Rais Dr. Magufuli alikuwa na maana gani aliposema, "... picha za mtu aliyefanya kosa mmoja, kana kwamba hicho kitendo kinafanywa na serikali, au kina-support-iwa na serikali ... Huyu anatoa anafanya hivi, huyu anatoa hivi"?

Swali la msingi, 'huyo mtu mmoja ni nani kwa mujibu wa ile movie?

 
Yote hii ni bashite tuu. Nchi inachimbika?sa sa hâta mengi kwa kuonyesha msimamo. Itv itaanzwa.
 
Huyu msukuma 2020 harudi tena bungeni
 
 
Yule aliyemtolea bastola Nape inasemekana ni jambazi sugu anaesakwa na mamlaka husika muda mrefu alitokea mirembe Dodoma!!

Nchi Hii!!! Mbele ya RPC mtu anatoa bastola kisha tunaambiwa hajulikani, jamani mtupe mapumziko sote sio akilinyumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…