Mwigulu hili hapana

Leo Mshana umechemka sijui umekula maharage ya wapi....
 
na mimi ntatafuta toy langu
Wasiwas wangu mkuu ukianza kuzitumia zitafutwa sasa watoto wetu watachezea nini? Lastly wanaume wa dar wamenisikitisha wanaogopa toyo! Nafikir kuna haja ya kuzuia chips mayai na browila!
 
Kwa nn na wale askari walio vamia clouds hakujitokeza na kumuagiza igp awafatilie au kwa kuwa walivaa uniform? Wao waliwatuma? Hawakupaswa kutafutwa? Mwigulu ni mnafiki na mshenzi pia.
Kuna harufu ya mtu kuambiwa ni mchocheziii..ngoja nione!!!
 
Hiyo simu ni nzuri sana na inatunza chaji sana lakini haina kamera ya kupiga picha watu waone
Unatumia toleo gani kwani? Kumbuka infinix sio maarufu hapa wetu hivyo wengi sana wamepigwa na zile fekelo za mvimba macho
 
Kuna vitu kuvitetea inakubidi kushare akili na sizonje. Mkutano uliandaliwa vizuri,RPC akazuia maana yake tayari walishatumwa askari kanzu. Haiwezekan leo mseme so Wa kwenu. Pingu kiunoni ilikuwa ya nini? Ni akili za Albert pekee ndizo zitakazodanganyika
 
Ndo kiongozi wetu huyu hana say tena hata angekuwa kavaaa uniforms angesema hivyo
 

Nahisi yule hakua askari kabisa ndio maana alizuiwa na kukamatwa na wale askari
 
bado hujamwelewa Mwigulu,Mwigulu anajua IGP atapewa order asifanyie kazi amri yake ,ila anachotaka ni kufikisha ujumbe kuwa "Virusi wengine bado tupo kwenye baraza la Mawaziri " .uaidhani kwa kumtoa huyo umemaliza.
 
Naona Mwigulu anasogelea mstari polepole kwa kutoa amri kwa mujibu wa mamlaka aliopewa
 
Hahahaha ameshasema yeye. Ndo final say so mawaziri wasiingilie chochote coz vibarua vitaota majani
 
Nahisi yule hakua askari kabisa ndio maana alizuiwa na kukamatwa na wale askari
Ingekuwa ni hivyo tayari mzee wa media angejitokeza na kusema aliyemtishia nape bastola amekamatwa. Leo siku ya ngapi kimya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…