Mwigulu hili hapana

Basi kama mtu holela anaweza kufanya vile bila matatizo yoyote mbele ya kadamnasi, media, na mbele ya polisi na wanausalama (labda aseme na wale askari nao walikuwa fake) basi kuna failure kubwa saaaaaaaaana kwenye system nzima ya taasisi na vyombo vya usalama nchini... Ina maana saa yoyote siku yoyote mtu mwingine ataingia na silaa mahali halipo kiongozi mkubwa wa nchi na kufanya "one touch double manifastation" kwa huyo kiongozi... kama yule hakuwa askari, basi viongozi wa taasisi za usalama nchini (mwigulu included) waachie nafasi zao maramoja... tena wakiaanza na hao wanaojiita sijui vitengo sijui special vitu gani... what a shame!!!!

Kama ni askari wao basi wamshughulikie yeye na aliyemtuma, kama sio askari wao basi vyombo vya usalama vime fail wajishughulikie... "ukitchyema nchale ukimumunya nchale"
 
Nakuhakikishia yule si askari bali ni mtu aliyepangwa kufanya maigizo na kitenge....
Eti eeh! Nape inaelekea ndio alikuwa Drama Master wa chama kwa hiyo mnamuaminia kshenz?

Cool, na wale walioenda kuigiza studio za clouds nao walitumwa na nani?
 
kama nape amefanyiwa vile hata wewe utafanyiwa najua nape ana thamani kubwa ccm kuliko wewe unaosumbuliwa na njaa
Mkuu, kuku wa kisasa unawajua? Wale ni mfano hai wa hiki unachokiona.

Makuku ya kisasa unaweza kuyarundika hata 40 hapo uwani, ukaanza kuchinja mmoja baada ya mwingine. Hakuna hata kuku moja litakalojiuliza ikiwa na lenyewe litachinjwa, sana sana utaona yakidonoa damu za wenzao waliokwisha katwa makoo.

Ipo siku atakumbuka maneno yako.
 
 
Mkuu, ukweli Mwigulu amekuwa muoga sana kwa sababu anaogopa kutumbuliwa
 

Kwa hali ya kisiasa ilivyo kila mtu lazima alinde Kibarua chake. Usitegemee action yoyote
 
Mshana jr swala la yule askari usihoji uthubutu.hapa unaniangusha kwakuwa naamini unakumbuka uzuri maswali ya kujiuliza ya akina Devie Fenner.swala ni yule ni askari kwakuwa wao wana interest na kumziba Nape mdomo.Raia wote tulitaka Nape aongee ili apate nafasi ya kucheua.AMINA CHIFUPA,Alizuiwa kuongea na Press.alikufa na kuondoka na alichopanga kusema kwa umma.(ACHA WATU WATEME/WACHEUE NYONGO ZAO)
 
ha ha ha ha dah well done hadi wanakwisha mfano mzuri sana
 
Wanatufanya wajinga hawa.
 
~kwani kwa kuwa ni waziri anaweza kufahamu askari wote mmoja mmoja?....
~ok we differ!
Jiongeze mkuu, kwani IGP anajua askari wote? Tunachoangalia ni nani ataweza kumtambua na kumkamata huyu askari, flow of authority. Mwigulu-IGP-RPC-OCD-OSS-kwa huyo askari aliyetolewa chambo
 
Majuha mnajuana. Povu linakumwagika kila tundu.
 
mkuu kasaidie kutoa taharifa ktk hili suala msiwe kama wanawake kuzungumza umbea mitandaon
 
Nimekuelewa BOB LUSE

Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…