Mwigulu hii Tsh 70 katika Makusanyo ya Tsh 48,489,225,670 imetoka wapi wakati Siku hizi hakuna Sarafu ya Tsh 20?

kwenye tozo ipo ila mtaani ndio haipo
Majibu ya Kiufafanuzi kama haya ndiyo nilikuwa nayataka na wengine huwa tunaanzisha Mada za Kiuchokozi kwa nia ya Kujifunza na Kuelimishwa zaidi tofauti na Wapumbavu wachache waliochangia huu Uzi kwa Kukurupuka na Kunishangaa badala ya Kutoa Elimu kama hii yako na ya Extrovert tuelewe zaidi.

Cc: Mkaruka
 
Mod haya manyuzi mengine yapotezeni tu.

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Ni Uzi wa Kuelimishwa, Kujifunza na Kupanua Maarifa ya Mtu na najua Mods hawana Ujuha kama ulionao na wakauondoa huu Uzi.

Halafu hapa JamiiForums kuna Threads lukuki tu sioni Tija kama unajua Uzi fulani huupendi na unahangaika nao tena.

Kuna Watu Mirembe na Lutindi kunawafaa sana kuwepo hasa huko Wodini Kwao mkapone Utahaira wenu unaowasumbueni.

Cc: Mkaruka
 
Unaangalia maana au unaangalia hela iliyokusanywa?
Kwa dhana yangu Kuu ya kutaka Kujifunza naangalia maana na si Kiwango kilichokusanywa kwani Makusanyo nimeshayazoea.

Aliyekuambia hapa JamiiForums ni Kosa au Dhambi Mtu Kuhoji / Kuuliza jambo ili aelimike na anoe zaidi Ubongo wake ni nani?

Cc: Mkaruka
 
Daaah mkuu uko darasa la ngapi wewe
 
Hahajajaja we mjinga nimekuelewa uko makini sana
 
Hizo ni pesa za kwenye miamala. Mbona hujawahi kuuliza kwanini kwenye Tigo pesa au Mpesa hadi huwa kuna Tsh 269, au Tsh 351.82
Wao wanakata pesa kamili Kwetu katika hari ya kawaida hatutegemei kuona sent wala pesa punjufu
 
Benki Kuu haijawahi kuondoa katika Mzunguko matumizi ya Sarafu ya Tsh 20.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…