G Sam JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 12,418 Reaction score 39,523 Jul 21, 2021 #21 Japo video ni ya mwaka 2015 lakini mimi nasema Mwigulu ni mpuuzi mtupu anayenuia kuangamiza watanzania.
Japo video ni ya mwaka 2015 lakini mimi nasema Mwigulu ni mpuuzi mtupu anayenuia kuangamiza watanzania.
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,507 Reaction score 29,289 Jul 21, 2021 #22 Erythrocyte said: Waamua kumtungia wimbo wa kampeni View attachment 1862159 Click to expand... Na jamaa kichwani mawazo yake yooote ni Urais
Erythrocyte said: Waamua kumtungia wimbo wa kampeni View attachment 1862159 Click to expand... Na jamaa kichwani mawazo yake yooote ni Urais
Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 22,374 Reaction score 28,046 Jul 21, 2021 #23 Erythrocyte said: inasemekana kishaanza kununua wenye njaa Click to expand... Huyo savimbi kamnunua Nani huku ccm? Labda kanunua nyumbu wanao migrate.
Erythrocyte said: inasemekana kishaanza kununua wenye njaa Click to expand... Huyo savimbi kamnunua Nani huku ccm? Labda kanunua nyumbu wanao migrate.
mbinguni JF-Expert Member Joined Jan 2, 2013 Posts 2,767 Reaction score 1,068 Jul 21, 2021 #24 Erythrocyte said: Waamua kumtungia wimbo wa kampeni View attachment 1862159 Click to expand... Wamebugi kabisa. Hafai hata kuwa balozi wa nyumba 10
Erythrocyte said: Waamua kumtungia wimbo wa kampeni View attachment 1862159 Click to expand... Wamebugi kabisa. Hafai hata kuwa balozi wa nyumba 10
Malume JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 1,014 Reaction score 1,886 Jul 21, 2021 #25 Erythrocyte said: Waamua kumtungia wimbo wa kampeni View attachment 1862159 Click to expand... Mwingulu akiwa rais atafukuza raia wote wahamie burundi na somalia
Erythrocyte said: Waamua kumtungia wimbo wa kampeni View attachment 1862159 Click to expand... Mwingulu akiwa rais atafukuza raia wote wahamie burundi na somalia
crocodile JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 3,860 Reaction score 2,957 Jul 21, 2021 #26 Aisee, hii ni uchonganishi kiwango cha zege ππ.
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 25,912 Reaction score 70,668 Jul 21, 2021 #27 Sura yake km yeboyebo iloishiria au km kamwagiwa uji mbichi,, nafsi yangu haimpendagi kabisa huyu mtu
Sura yake km yeboyebo iloishiria au km kamwagiwa uji mbichi,, nafsi yangu haimpendagi kabisa huyu mtu
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,281 Reaction score 24,074 Jul 21, 2021 #28 Mwigulu kama Mwigulu.
Ghiti Milimo JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 5,156 Reaction score 7,696 Jul 21, 2021 #29 Mtuflani Official said: View attachment 1861470 Click to expand... Kabla hajawa mjanja!
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 72,402 Reaction score 191,524 Aug 17, 2021 #30 Ila wanasiasa wa CCM nikama wasanii wa USA tuπππ mtu anatokea kwenye video za wenzie kama mualikwa after 15 yrs unashangaa yeye ndio anakuwa star mkubwa ana run kwenye media zote.
Ila wanasiasa wa CCM nikama wasanii wa USA tuπππ mtu anatokea kwenye video za wenzie kama mualikwa after 15 yrs unashangaa yeye ndio anakuwa star mkubwa ana run kwenye media zote.