Mwigulu ana Hali mbaya Iramba

Mwigulu ana Hali mbaya Iramba

Inaonekana kuna maelekezo maalum ya kumsadia Kitila Mkumbo kuwa Mbunge la Iramba Magharibi jimbo linaloshikiliwa hivi sasa na Mwigulu Nchemba.

Kwenye mizunguko yangu jimboni humo, jimbo mojawapo kati ya majimbo machache yaliyobakia kutumia fedha za vijiji kufanyia siasa za CCM, Mwigulu amebaki kupiganiwa na watu wachache dhidi ya kundi kubwa linaloonekana linapokea maelekezo toka ngazi za juu ndani ya chama hicho.

Kitila Mkumbo inaonekana anazidi kukaza kitanzi kitakachomuua kisiasa Mwigulu Nchemba kwenye jimbo analoliongoza hivi sasa
Mtu mzima na Verified ID unakuja na Uzi ambao unaanza mstari ukiandika "INAONEKANA kuna maelekezo maalum"!!?????
Inaonekana na nani au wakina nani!? Una ushahidi pasi na Shaka wa hii taarifa yako!? Unatumia hisia zako binafsi kuwalisha watu Ugoro wa Chuki na rosti la Uzandiki kwa manufaa ya kina nani!?
Wewe mwenyewe inaonekana Hauna hata chembe ya uhakika na huu upuuzi wako na ndio Maana ukaanza kwa kuandika INAONEKANA. Otherwise undeanika hayo maelezo maalum kutoka huko mnakokuita JUU ya kumsaidia huyo Kitila Mkumbo.
Jitafakari kamanda. Propaganda Uchwara Hazina nafasi awamu hii.

Nasubiri ushahidi wa hayo "MAELEKEZO KUTOKA JUU".....
 
Nasubiri ushahidi wa hayo "MAELEKEZO KUTOKA JUU".....
Waulize wanasheria neno "Inaonekana" kwenye mambo ya ushahidi na uandishi lengo lake hasa huwa nini? Halafu mtu anavyojadiliana na watu wengine maneno anayoandika ama kutamka ndiyo huonesha kalelewaje kwao. Hata kama unatumia jina bandia ukiandika mambo ya hovyo ndiyo ulivyo na wala si kwa sababu ya kutumia jina bandia.
 
Sasa wewe hizo "Facts" ndiyo ziko wapi? Sijawahi kuwa na "Multiple IDs" kwa lengo la kuandika ili nijijibu.
Mimi nimekuambia ACHA KUPOTOSHA UMMA. Wajibu wako Wewe ulikuwa na kuweka USHAHIDI PASI NA SHAKA kuthibitisha hizo shutuma zako.
Ndio Maana huyo jamaa yenu aliulizwa na Steve Sackur ya kwamba ana Ushahidi pasi na Shaka wa hizo tuhuma na shutuma anazotoa!? Akaishia kujibu "Call them"! WTF!!!!????
 
Inaonekana kuna maelekezo maalum ya kumsadia Kitila Mkumbo kuwa Mbunge la Iramba Magharibi jimbo linaloshikiliwa hivi sasa na Mwigulu Nchemba.

Kwenye mizunguko yangu jimboni humo, jimbo mojawapo kati ya majimbo machache yaliyobakia kutumia fedha za vijiji kufanyia siasa za CCM, Mwigulu amebaki kupiganiwa na watu wachache dhidi ya kundi kubwa linaloonekana linapokea maelekezo toka ngazi za juu ndani ya chama hicho.

Kitila Mkumbo inaonekana anazidi kukaza kitanzi kitakachomuua kisiasa Mwigulu Nchemba kwenye jimbo analoliongoza hivi sasa
Hayo ni mapambano ya kawaida ya kisiasa,come 2020 atakayeshindwa akapumzike.Hakuna mwenye hati miliki ya jimbo.
 
Kwani kuna mtu anateseka kwa hii post ya Allen?? mbona povu sana mazee??? Mara "matatizo ya akili" mara upumbavu, so WHAT??
Will you please stop this nonesense? Just a polite request!
Pelekeni upumbavu wenu mkafie mbele huko! Unakuja na multiple IDs kufanya propaganda Uchwara mnategemea watu wawaangalie tu. Unajua hata Maana ya "Polite request"!?
 
Hayo ni mapambano ya kawaida ya kisiasa,come 2020 atakayeshindwa akapumzike.
Yaani anaandika utafikiri ni ukiukwaji wa Haki za binadamu. After all ukiangalia kwa umakini hiyo ndio DEMOKRASIA iliyotukuka ambayo inatoa nafasi kwa wanachama kupambana kisiasa. Tatizo lao wamezoea kushikilia vyeo na madaraka mpaka kifo. Ukileta mapambano ya kisiasa ndani ya Chama chao ni sawa na kubeba unga(cocaine) uingize China.
Pumzika kwa Amani Marehemu Chacha Wangwe. Muda utaongea.
 
Pelekeni upumbavu wenu mkafie mbele huko! Unakuja na multiple IDs kufanya propaganda Uchwara mnategemea watu wawaangalie tu. Unajua hata Maana ya "Polite request"!?

Mimi hata hiyo Iramba siijui kihivyo Zaidi ya kupita nikiwa naelekea kwetu Shinyanga......Lakini nikikusoma wewe na Allen..it is clear wewe unalazimisha hoja. Allen kwa kutumia jicho la Mfalme Suleiman he is right and genuine.

Ukiona mtu anaandika au kutetea hoja kwa kutukana na kuita watu majina.....jua kuna shida somewhere. Ni kanuni ya maisha siyo mimi.

Endeleeni na mjadala.
 
Hao watu wa Kyengege wanashutumiwa kulazimisha Kituo cha Afya kijengwe Kinampanda wakati watu wa Doromoni mpaka Mgongo hawana Kituo cha Afya.
mKUU hamkupendezwa kinampanda kupata kituo cha afya. Kinampanda jina lake kubwa ilistahili bhana!
Huko Doromoni ni Iramba pia ila naona bajeti za maendeleo nchi hii ni za kibaguzi sana. baadhi ya mikoa wanapata upendeleo almost kwa kila kitu na kodi ya nchi yote inajenga those places only.
 
Mimi hata hiyo Iramba siijui kihivyo Zaidi ya kupita nikiwa naelekea kwetu Shinyanga......Lakini nikikusoma wewe na Allen..it is clear wewe unalazimisha hoja. Allen kwa kutumia jicho la Mfalme Suleiman he is right and genuine.

Ukiona mtu anaandika au kutetea hoja kwa kutukana na kuita watu majina.....jua kuna shida somewhere. Ni kanuni ya maisha siyo mimi.

Endeleeni na mjadala.
Ni Haki yako kikatiba kuona unavyotaka Wewe.
 
Drlove 69 nakuona hauko huru kichwani.....una uzalendo wa kileo ambao mambo ya hovyo ndio yanaonekana kupigiwa chapuo kuwa ndio 'The real uzalendo'.
 
Drlove 69 nakuona hauko huru kichwani.....una uzalendo wa kileo ambao mambo ya hovyo ndio yanaonekana kupigiwa chapuo kuwa ndio 'The real uzalendo'.
Una Uhuru kikatiba kuwa na mtazamo utakaokupa ahueni na furaha katika nafsi yako.
 
Back
Top Bottom