UONGO wako ni hii taarifa uliyoileta hapa. Kuanzia mwaka huu umeanza niko sana kikazi maeneo ya Iramba, Ikungi na maeneo ya mpakani na Shinyanga. Maeneo niliyokuwa kikazi hapo Iramba ni Gumanga, Kaselya, Kimpunda, Mbelekese, Msingi, Ndago, Kinyangiri, Ilunda, Urugu, Timbwa n.k. Hali halisi ya maeneo hayo uliyoyataja sio kama unavyotaka kupotosha Umma katika Uzi wako.Asubuhi ya leo nilikuwa Doromoni na Kisana. Nimefika Ndago, mngongo na kulala Kiomboi kwa zaidi ya wiki. uongo wangu uko wapi?
Wewe mara mwisho kufika Kinambeu au kisiriri ni lini?
Wewe ni mtu mzima na mwenye heshima zako humu JF. Mambo kama hayo waachie hawa makamanda Uchwara wanaotegemea kulala kwenye kochi la Shemeji na bundle za Chuo!