Mwigulu ana Hali mbaya Iramba

Mwigulu ana Hali mbaya Iramba

malipo ni hapa hapa tanganyika tena ikiwezekana wamfukuze kabisa akaendelee kuchunga ng'ombe zake
 
kwani siasa za kura za maoni zimesha anza ? au unajaribu ku bet ?
 
Inaonekana kuna maelekezo maalum ya kumsadia Kitila Mkumbo kuwa Mbunge la Iramba Magharibi jimbo linaloshikiliwa hivi sasa na Mwigulu Nchemba.

Kwenye mizunguko yangu jimboni humo, jimbo mojawapo kati ya majimbo machache yaliyobakia kutumia fedha za vijiji kufanyia siasa za CCM, Mwigulu amebaki kupiganiwa na watu wachache dhidi ya kundi kubwa linaloonekana linapokea maelekezo toka ngazi za juu ndani ya chama hicho.

Kitila Mkumbo inaonekana anazidi kukaza kitanzi kitakachomuua kisiasa Mwigulu Nchemba kwenye jimbo analoliongoza hivi sasa

Mwigulu is a politician not mchumia tumbo like the so called professor wa ugali.
 
Tundu Lissu alipopigwa risasi Mwigulu alikuwa waziri wamambo ya ndani.Mabomu ya Arusha,Tindikali,viroba n.k
Laana inayomtafuna Madelu Lameck
 
nkuwi na MAPUMA MIYOGA hivi hii vita kati ya wanyaturu na wanyiramba chanzo chake ni nini. Na bado ina faida kwa kizazi chenu hiki? Kuna Mzee Mnyaturu kaoa Mnyiramba kila nikimuuliza mbona yeye Mnyaturu kaoa Mnyiramba, anatabasamu tu.

DuppyConqueror huzijui siasa za huku jaribu kuulizia kwa wenyeji.
 
nkuwi na MAPUMA MIYOGA hivi hii vita kati ya wanyaturu na wanyiramba chanzo chake ni nini. Na bado ina faida kwa kizazi chenu hiki? Kuna Mzee Mnyaturu kaoa Mnyiramba kila nikimuuliza mbona yeye Mnyaturu kaoa Mnyiramba, anatabasamu tu.

DuppyConqueror huzijui siasa za huku jaribu kuulizia kwa wenyeji.
Mi hata sijui huwa kuna issue gani katika hili
Ila ni baadhi ya wanyaturu wenye uelewa hafifu kama huyu nkuwi. Mi naishi na wanyaturu na tunaheshimiana kama home boys na hakuna baya kati yetu hata moja.
Sema wanyaturu wengi pia huwa hawana ushirikiano na wanyiramba sijui waliwafanya nini.
kwa upande mwingine pia mkoa mzima wa singida watu wake wako kipekee pekee sana. ushirikiano ni hafifu sana.Wengi hawapo hata katika vyama vya mkoa vya kusaidiana, na hili ni tatizo KUBWA MNO HASA KWA HAWA JAMAA ZETU. Mfano sehemu ninayoishi, wanachama wa upande huo ni wachache sana wakati nawaona wengi tu.
 
Back
Top Bottom