Mwigulu ana Hali mbaya Iramba

Mwigulu ana Hali mbaya Iramba

Huo ushahidi unataka uweje ili uamini kwamba ni ushahidi?
Haya maswali ya kipuuzi nenda kaulizane na wenzako pale Ufipa. So far hauna Hoja ya msingi wa Ushahidi pasi na Shaka wa kubeba Uzi wako.
Umefungua Uzi kwa kutumia hisia zako binafsi na mihemko.
 
Umefungua Uzi kwa kutumia hisia zako binafsi na mihemko.
Watu wa Iramba Magharibi wameelewa wewe kama hujaelewa hilo ni tatizo lako siyo langu. Ushahidi unataka uweje ili kwako uwe ushahidi?
 
Kama wewe ulivyojua ya kwamba kuna "Maelezo maalum kutoka JUU" ya kusaidia Kitila kumtoa Madelu jimboni.
Ushahidi ninao ila nataka kujua kama ushahidi nilio nao ndiyo wewe unautaka. Unajua kuna aina nyingi za ushahidi. Kumbuka ulipoingilia hii mada ulianza kwa shutuma kwamba natunga uongo na sijawahi kuwepo Iramba Magharibi.

Na ndiyo maana kwenye kuonesha kwamba nilikuwa Kiomboi nikatoa ule mfano wa kumsaidia yule mgonjwa aliyeanguka Kifafa pale Mampanta kama mojawapo ya "Ushahidi" kwamba nilikuwa Iramba Magharibi.
 
Ni wapi katika mabandiko yangu nilipoandika ya kwamba HAUJAWAHI KUWEPO IRAMBA MAGHARIBI!!?? Kamanda Jitafakari aisee. ACHA UONGO MTU MZIMA HAIPENDEZI.
Weka post yangu yoyote hapa niliyoandika haujawahi kuwepo Singida magharibi. Nilichosema mimi ni kwamba Wewe ni MUONGO na unapotosha umma. Kwa sababu bandiko lako halina Uhalisia na hali halisi Singida magharibi. Ukakimbilia kuwaita wazandiki wenzako waje kukupa support.

Mfano wa kumsaidia mgonjwa mimi unanihusu nini!? Hoja hapa ilikuwa "Maelezo maalum kutoka JUU ya kutoa Madelu jimboni na kumpachika Kitilla". Hayo ya mgonjwa peleka huko yanapostahili.

Kwa hiyo Wewe kumsaidia mgonjwa ni ushahidi pasi na Shaka wa hizi propaganda zako!? Dah! Kamanda unatia kinyaa.
 
Una matatizo. Usipopata huduma ya tiba haraka utakuwa "Takwimu" muda si mrefu kamanda.
Aina ya ushahidi unaoutaka ndiyo mada yetu. Uweje ili kwako uwe ni ushahidi kwamba Kitila anasaidwa na mfumo wa CCM kushindana na Mwigulu Iramba Magharibi?
 
Inaonekana kuna maelekezo maalum ya kumsadia Kitila Mkumbo kuwa Mbunge la Iramba Magharibi jimbo linaloshikiliwa hivi sasa na Mwigulu Nchemba.

Kwenye mizunguko yangu jimboni humo, jimbo mojawapo kati ya majimbo machache yaliyobakia kutumia fedha za vijiji kufanyia siasa za CCM, Mwigulu amebaki kupiganiwa na watu wachache dhidi ya kundi kubwa linaloonekana linapokea maelekezo toka ngazi za juu ndani ya chama hicho.

Kitila Mkumbo inaonekana anazidi kukaza kitanzi kitakachomuua kisiasa Mwigulu Nchemba kwenye jimbo analoliongoza hivi sasa
Ni kwel mkumbo kwasasa ni mbunge mtarajiwa Iramba, lakini ukifuatilia mwananchi mmoja mmoja wengi mioyo yao ipo kwa Mwigulu.
Sema Chama Hakimtaki Tena Mwigulu.
So bye bye Mwigulu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aina ya ushahidi unaoutaka ndiyo mada yetu. Uweje ili kwako uwe ni ushahidi kwamba Kitila anasaidwa na mfumo wa CCM kushindana na Mwigulu Iramba Magharibi?
Umeshahamisha Goli na kubadili hoja kuwa "Anasaidiwa na Mfumo wa CCM" kutoka hoja yako ya awali iliyosomeka "Maelekezo kutoka JUU"!? ACHA UZANDIKI kamanada. Simamia UKWELI na UWAZI.
 
Ni kwel mkumbo kwasasa ni mbunge mtarajiwa Iramba, lakini ukifuatilia mwananchi mmoja mmoja wengi mioyo yao ipo kwa Mwigulu.
Sema Chama Hakimtaki Tena Mwigulu.
So bye bye Mwigulu
@DrLove69 na huyu naye mwambie alete ushahidi!
 
Ni kwel mkumbo kwasasa ni mbunge mtarajiwa Iramba, lakini ukifuatilia mwananchi mmoja mmoja wengi mioyo yao ipo kwa Mwigulu.
Sema Chama Hakimtaki Tena Mwigulu.
So bye bye Mwigulu

Sent using Jamii Forums mobile app
BADO NINA IMANI NA MWIGULU KAMA ISSUE NI KUKERWA NA UMASKINI WETU HUKU IRAMBA.
HAO MNAOWATAJA SIJUI HATA KAMA WANKEREKA NA UMASKINI WETU
 
Back
Top Bottom