Hiyo ina maana ya kwamba;
Masaa 24 na Siku 7 za wiki mkuu.
Hiyo ina maana ya kwamba;
Hapana. Ni lugha ambayo inatumika haswa katika Nchi za mashariki ya mbali.
Daaah unajua nauliza kwa sababu, hiyo ni lugha ya kitabibu na mnavyoitumia ni tofauti na nijuavyo. Huko kwa uganga ukiandika vile 24/7 maana yake ni siku 24, 2/52 ni siku 14, 2/12 ni siku 60, humu nimeona wengi mukimaanisha 24/7 kwamba masaa 24.Hapana. Ni lugha ambayo inatumika haswa katika Nchi za mashariki ya mbali.
Mwigulu kamtumikia shetani CCM kwa muda mrefu na kwa uaminifu Sana huku akijua kuwa shetani hana huruma wala urafiki na yeyote, mwache avune alichopandaInaonekana kuna maelekezo maalum ya kumsadia Kitila Mkumbo kuwa Mbunge la Iramba Magharibi jimbo linaloshikiliwa hivi sasa na Mwigulu Nchemba.
Kwenye mizunguko yangu jimboni humo, jimbo mojawapo kati ya majimbo machache yaliyobakia kutumia fedha za vijiji kufanyia siasa za CCM, Mwigulu amebaki kupiganiwa na watu wachache dhidi ya kundi kubwa linaloonekana linapokea maelekezo toka ngazi za juu ndani ya chama hicho.
Kitila Mkumbo inaonekana anazidi kukaza kitanzi kitakachomuua kisiasa Mwigulu Nchemba kwenye jimbo analoliongoza hivi sasa
Na ndio Maana na mimi nimekujibu kwa sababu nilimaanisha hivyo.....hiyo 24/7 ni common terms katika Nchi kama Marekani,Canada etc.Daaah unajua nauliza kwa sababu, hiyo ni lugha ya kitabibu na mnavyoitumia ni tofauti na nijuavyo. Huko kwa uganga ukiandika vile 24/7 maana yake ni siku 24, 2/52 ni siku 14, 2/12 ni siku 60, humu nimeona wengi mukimaanisha 24/7 kwamba masaa 24.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hadi umejisahau na kujikuta umeropoka kwamba mna mikakati ya kumuua Lissu,hamjakoma tu?Kamanda Kilewella utaacha lini hii tabia yako ya Uongo, Uzandiki na kupotosha Umma!? Yaani mpaka Aibu wanaona watoto wako!
Niko Ikungi kikazi. Mara 100 ungesema mkakati ni wa kumuondoa Tundu tunduni Ikungi.
Danga limekuchoropoka na kukuachia vocha ndio unaingia JF kumwaga uha.ro!Yaani hadi umejisahau na kujikuta umeropoka kwamba mna mikakati ya kumuua Lissu,hamjakoma tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Damned daft!Acha siasa za uchonganishi, Mwigulu bado anapendwa. Ila Zito ndiyo hatakiwi kabisa kigoma, yaani asahau ubunge
Ama kweli shetani hana rafiki ! Mwigulu ndiyo wa kutendewa haya ?Inaonekana kuna maelekezo maalum ya kumsadia Kitila Mkumbo kuwa Mbunge la Iramba Magharibi jimbo linaloshikiliwa hivi sasa na Mwigulu Nchemba.
Kwenye mizunguko yangu jimboni humo, jimbo mojawapo kati ya majimbo machache yaliyobakia kutumia fedha za vijiji kufanyia siasa za CCM, Mwigulu amebaki kupiganiwa na watu wachache dhidi ya kundi kubwa linaloonekana linapokea maelekezo toka ngazi za juu ndani ya chama hicho.
Kitila Mkumbo inaonekana anazidi kukaza kitanzi kitakachomuua kisiasa Mwigulu Nchemba kwenye jimbo analoliongoza hivi sasa
Who the hell is Danga?Danga limekuchoropoka na kukuachia vocha ndio unaingia JF kumwaga uha.ro!
Mimi nasoma Historia ya Supreme leader Ayatollah Mbowe...yYa Gbagbo hayanihusu. Na jina lake anaitwa Laurent Gbagbo na sio Gagbo..Pathetic!Who the hell is Danga?
Ukitaka kujua mwisho wa CCM, soma historia ya Laurent Gagbo, alikuwa mpumbavu Kama nyie akitegemea Jeshi ndo lingemfanya aendelee kuwa Rais,.
Kilichomkuta hadi huruma
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa "Ayatollah" si jambo rahisi. Wengi wanatamani kuwa lakini maulana hajawatunuku. Nimekuuliza nilichotunga ukakimbia. Umeona majadiliano yangu na mtu aliyeko Iramba Magharibi MAPUMA MIYOGA yalivyokuwa?Mimi nasoma Historia ya Supreme leader Ayatollah Mbowe...yYa Gbagbo hayanihusu. Na jina lake anaitwa Laurent Gbagbo na sio Gagbo..Pathetic!
Utakuwa una matatizo ya akili kama wengi wenu huko. Majadiliano yenu Wewe na huyo Mapuma Miyoga mimi yananihusu nini!? Mimi naongelea kitu ninachokifahamu kwa sababu niko field. Wewe kuna uwezekano kabisa ukawa na multiple IDs ukawa unaandika upuuzi na kujijibu mwenyewe Kama ilivyo kawaida kwa wadau wengi wanapoamua kupotosha umma kwa kutumia propaganda Uchwara.Kuwa "Ayatollah" si jambo rahisi. Wengi wanatamani kuwa lakini maulana hajawatunuku. Nimekuuliza nilichotunga ukakimbia. Umeona majadiliano yangu na mtu aliyeko Iramba Magharibi MAPUMA MIYOGA yalivyokuwa?
Wewe unayeandika kwa kufikiri na mtu anayeijua vizuri Iramba magharibi, wewe utasema ni uzushi wakati mwenzio anaona ni uhalisia.
Hii ni kutoka chini ya kapeti au sio, muda utasemaInaonekana kuna maelekezo maalum ya kumsadia Kitila Mkumbo kuwa Mbunge la Iramba Magharibi jimbo linaloshikiliwa hivi sasa na Mwigulu Nchemba.
Kwenye mizunguko yangu jimboni humo, jimbo mojawapo kati ya majimbo machache yaliyobakia kutumia fedha za vijiji kufanyia siasa za CCM, Mwigulu amebaki kupiganiwa na watu wachache dhidi ya kundi kubwa linaloonekana linapokea maelekezo toka ngazi za juu ndani ya chama hicho.
Kitila Mkumbo inaonekana anazidi kukaza kitanzi kitakachomuua kisiasa Mwigulu Nchemba kwenye jimbo analoliongoza hivi sasa
Sasa wewe hizo "Facts" ndiyo ziko wapi? Sijawahi kuwa na "Multiple IDs" kwa lengo la kuandika ili nijijibu.Wito wangu kwako na watu wa aina yako ni kwamba ACHENI UONGO NA KUTUNGA HABARI ZA KUPOTOSHA UMMA.
Ukiamua kuandika upumbavu hapa JF uwe tayari kuwekwa sawa kwa FACTS.
Jitafakari.
Kwani kuna mtu anateseka kwa hii post ya Allen?? mbona povu sana mazee??? Mara "matatizo ya akili" mara upumbavu, so WHAT??Utakuwa una matatizo ya akili kama wengi wenu huko. Majadiliano yenu Wewe na huyo Mapuma Miyoga mimi yananihusu nini!? Mimi naongelea kitu ninachokifahamu kwa sababu niko field. Wewe kuna uwezekano kabisa ukawa na multiple IDs ukawa unaandika upuuzi na kujijibu mwenyewe Kama ilivyo kawaida kwa wadau wengi wanapoamua kupotosha umma kwa kutumia propaganda Uchwara.
Kukukimbia wewe ni sawa na kulikimbia gari la kubeba Takataka. Nilikueleza na naendelea kukueleza ACHA UONGO na KUPOTOSHA UMMA. Mwisho wako na watu wa aina yako ni mbaya sana.
Wewe ni verified user lakini akili na upeo wako haswa katika kujenga hoja ni ngazi ya Sudi Brown na Kwissa wa kipindi cha Shilawadu.
Sasa mimi Kama nasema ni Uzushi na Wewe unaona ni uhalisia kuna ubaya gani!? Kila mtu ana Haki yake ya kueleza mtazamo wake. Tatizo lenu kubwa na ndio linalowamaliza kila kukicha ni kwamba huwa Hamkubali wala kuheshimu mtu akiwa na mtazamo tofauti na nyinyi. Mnataka kila mtu humu JF akubaliane na upumbavu mnaouleta. Utafikiri maandiko yenu ya kipuuzi ni kama maandiko ya Vitabu vya Dini. Mmejivika vilemba vya UJUAJI na utaalam wa kila jambo hapa nchini na nje ya Nchi.
Wito wangu kwako na watu wa aina yako ni kwamba ACHENI UONGO NA KUTUNGA HABARI ZA KUPOTOSHA UMMA.
Ukiamua kuandika upumbavu hapa JF uwe tayari kuwekwa sawa kwa FACTS.
Jitafakari.
Mimi ndiyo sielewi kwa nini kawa na taharuki. Ni kama anadai mimi ndiyo wewe ila natumia majina tofauti. Tatizo wao wanadhani wanamiliki hatimiliki ya watu kujua mambo. Nimemwambia mimi nilikuwa Kiomboi, yeye anadai yupo "Field" Ikungi. Sasa kama inawezekana mtu wa Tutu asijue mambo ya Kizega, sasa yeye yupo Itungi anataka kulazimisha kuyajua ya Iramba Magharibi.Kwani kuna mtu anateseka kwa hii post ya Allen?? !
Nilikuwa Iramba na kujionea jinsi Kitila anavyopiganiwa na Ngazi za juu za CCM dhidi ya Mwigulu.
Hao watu wa Kyengege wanashutumiwa kulazimisha Kituo cha Afya kijengwe Kinampanda wakati watu wa Doromoni mpaka Mgongo hawana Kituo cha Afya.Wasalimie Kyengege Boss. NA TUMULI PIA?