Mwigulu ajipanga kuingusha CHADEMA nchi nzima

Taani hii ni kali, Shoza na Mwamppamba, hata wangevikwa dhahabu, wakapewa peremende, na sumu ya mamba, hawataidhuru cdm. Walichoweza ni kuishusha ccm kuzimu. Mitaa walikopita ma huyo Chemba ni maji taka tu wameacha ya ccm. Huwa najiuliza, chama kikongwe, chama chenye hazina tele kimefikia kuchota matapishi (Shoza & Mwampamba) ya vyama vya msimu kama cdm na kuyaweka kwenye mtungi wa maji ya kunywa!! Kweli tumekwisha. Nani ataifufua ccm? Ni yule M/Kiti aliyemkumbatia Shoza mpaka akamwinua binti wa watu miguu juu! Shame on him! Shame on Chemba! Ati katibu sijui mwenezi! Wa ukimwi tu huyo. Hapo ataibuka na kifaa kingine cha kusafiria mikoa aliyo itaja. Anachokijua ni kubuni safari mpya kila akishaokota mchizi mwingine kama Shoza. Si pdm inaingia! ccm itazindukia kuzimu baada ya arobaini yake kwisha.
 
Kada mahiri wa CCM na kipenzi cha Watanzania Mwigulu Nchemba yupo kwenye mikakati mizito ya kuisambaratisha CHADEMA na Kuirudisha Heshima ya Chama Kubwa CCM katika medani za siasa Tanzania. Akiwa katika mapumziko mazito amesema sasa umefika muda muafaka wa kuwajulisha Watanzania nini kipo nyuma ya Chadema amesema watanzania wakae mkao wa kushangilia ushindi.

Aidha amesema ana mpango wa kuwapumzisha vijana wawili ambao wanaonekana ni mamluki kutoka CHADEMA kwani hawakubaliki katika siasa za majukwani na wapenzi wengi wa ccm hasa vijana wa Green guard wanawachukia sana. amesema atakuja na kikosi kipya kilicholelewa na kukulia ndani ya ccm kupitia chipukizi za CCM. amesema vijana hao wawili waliokuwa wanachama na viongozi wa Bavicha ni mzigo kwa chama kwani kila wanapopita huzomewa na hawana uwezo wa kufanya siasa za majukwani.

Mwigulu amesema baada ya mapumziko anayokaribia kuyamaliza atafanya mkutano mkubwa wa hadhara katika mikoa ya kanda ya ziwa na kusini.
usimsingizie, mwenzenu bado ana majeraha ya Arusha nyie mnamtonesha vidonda si vizuri hivyo. Kwa sasa akisikia watu wanaongelea Peoples Power basi jamaa anatoka NDUKI siju wana Arusha wamemfanya nini Mwigilu.
 
so anataka kuwatumia hawa chini hapa?maana jitihada za kiraia Arusha zilishindikana ameona bora awatumie green rebels wake
998861_490081497742516_1206258209_n.jpg

thanks ngoja niisambaze hii picha kwa wenzangu walau watu mia tano
 
katikati ya wiki nilikutana na kamanda Mwigulu kwenye ofisi fulani ya serikali! tulipo salimiana alikuwa busy anapost topic jamii forum nilipojitahidi kufungua na mimi JF nikakuta ameshapigwa ban nikajua anatumia another ID
 
Last edited by a moderator:
@Mr Emmy hii makitu ilifia wapi?

Majemedari wa Umoja mpya wa Vijana CCM (UMVCCM) sasa kutikisa nchi, katika harakati ya kukikomboa chama kutoka katika Mikono ya Mafisadi. Kwasasa mipango kabambe ya kukirudisha chama mikononi mwa Wakulima na Wafanyakazi inaendelea kufanywa na majemedari wa Vita ndani ya chama. Kwasasa tunakwenda kuanza na Kampeni ya Ondoa Mafisadi CCM (OMC) ambayo itahakikisha viongozi wote wacghafu ndani ya Chama wanatengwa na kundi la wana CCM wasafi wanaonga mkono vuguvugu jipya la mabadiliko ndani ya Chama.

Wananchi wameshakuwa na imani na vuguvugu la mabadiliko ndani ya chama litakalo ongozwa na UMVCCM kwani hatua moja kuu ambayo inakwenda kupigwa ni wana CCM mabadiliko ni pamoja;

1. Kuandaa katiba Mpya cha Chama cha mapinduzi - Halisi ambayo
2. Wanavuvugu kutohama chama bali kupigania mabadiliko ndani ya chama
3. Kuhamasisha wanachama na wasio wanachama kujiunga na vuguvugu la mabadiliko ili kuikumboa nchi inayoelekea kugawanywa vipande vipande na kundi la CCM Mafisadi na Chadema matapeli
4.kuweka mikakati madhubuti ya kuyakomboa majimbo yote yanashikilwa na CCM mafisadi na Chadema pamoja namjimbo mengine yanayoshikiliwa na upinzani
5.Kurudisha Imani ya wazanzibari wote na kukitikomeza kabisa chama cha Kiarabu CUF huko visiwani
6. Kuzima kwa nguvu ya hoja harakati zote za matepeli chadema na M4C

Note Harakati hizo zote zitafanywa na wanavuvugu na watanzania wote wapenda amani na maendeleo pasipo kuhama chama bali CCM Mafisadi watajitenga na kupisha wenyewe kulingana

Sasa kazi ndo kwanza inaanza

Mabadiliko mapya yanakwenda kukifanya chama cha mapinduzi kuwa halisi zaidi na kumjali mwananchi mnyonge
 
dikteta copy.jpg african dictators club the chase...vote for lameck madelu ili ashinde...sms namba kwenda namba 666...viva comrade madelu vivaaaaaaa
 
Huyo migulu ni tahira. Wa kurudi ccm anawajua?
 
Umbea tu huu, SHONZA NA MWAMPAMBA ni sumu kwa CHADEMA wala usimsingizie MWIGULLU, hayo ni mawazo yako na hayana ukweli wowote.

mbona unahofia maisha yako kila jins lako likiwa kwene mikakat ya kuwa excluded? sikia dada kama ulikuwa hujui naomba ujue sasa kuwa ccm ina wenyewe nyie vijana wa kuja hamna chenu anza mipango ya kurud kijijini kwenu.
 
Kunakila sababu yakumshukuru Mungu kwa yoote ambayo tumekutana kuanzia pale tulipo zaliwa mpaka sasa,ila huyu jamaa Nchemba sijui kama Mungu wake ni huyu wetu maana anaroho mbaya kupita kiasi mpaka amesha waambukiza akina Shonza na Mwampamba,ameua sana,anamdomo mchafu,anawabambikizia watu kesi za ugaid nk,ila Mungu yupo yote haya yatafika mwisho.
 
yaani kwa jinsi mwigulu alivyomgagada huyo dada akitoa maelezo kama haya yule dada atakunywa sumu.
 
Anachotaka kukifanya huyu nduli (ndio, ni nduli katika hali halisi, hana tofauti na yule mwendawazimu wa Uganda, tuliyemshikisha adabu mwaka 1979!) ni jambo ambalo lina baraka za Shetani, si Mungu wetu, Mwenyezi Mungu Baba.

Ameamua kuwachukua vijana wadogo wa "chipukizi" wa Green Guards, kwa kuwa wao ni watoto na ni rahisi zaidi kuwafundisha ukatili watoto (ambao roho zao ni za kimalaika), kuliko kumfundisha ukatili mtu mzima aliyepevuka.

Madikteta na Mabwana wa Vita, Joseph Kony, Koroma, na wengineo, wana sifa ya kuwatumia watoto na kuwafundisha mbinu zote za kijeshi, ili wawe wanajeshi watoto ambao hawana huruma, hata katika kuua ndugu na/au wazazi wao, kwa silaha, kuwakata kwa mapanga, n.k.

Ninasema mpango wake huo HAUTAFANIKIWA, japokuwa anaweza (kwa nguvu za Shetani) kuwajeruhi na hata kuwaua wanaCHADEMA na raia wengine ambao, kwa "kosa" la kuiunga mkono CHADEMA, wanatiwa hatiani, na kuonekana "wasaliti" kwa chama tawala, ambacho sasa kimejirihidhisha hadharani kuwa chama dhalimu kisichowajali raia wa nchi kinachotawala, na kiko tayari kuingia gharama yoyote (hata ya kutoa uhai wa binadamu), ili kubakia madarakani.

Ee Mungu tunusuru sisi watoto wako! Amina.
 
Kada mahiri wa CCM na kipenzi cha Watanzania Mwigulu Nchemba yupo kwenye mikakati mizito ya kuisambaratisha CHADEMA na Kuirudisha Heshima ya Chama Kubwa CCM katika medani za siasa Tanzania. Akiwa katika mapumziko mazito amesema sasa umefika muda muafaka wa kuwajulisha Watanzania nini kipo nyuma ya Chadema amesema watanzania wakae mkao wa kushangilia ushindi.

Aidha amesema ana mpango wa kuwapumzisha vijana wawili ambao wanaonekana ni mamluki kutoka CHADEMA kwani hawakubaliki katika siasa za majukwani na wapenzi wengi wa ccm hasa vijana wa Green guard wanawachukia sana. amesema atakuja na kikosi kipya kilicholelewa na kukulia ndani ya ccm kupitia chipukizi za CCM. amesema vijana hao wawili waliokuwa wanachama na viongozi wa Bavicha ni mzigo kwa chama kwani kila wanapopita huzomewa na hawana uwezo wa kufanya siasa za majukwani.

Mwigulu amesema baada ya mapumziko anayokaribia kuyamaliza atafanya mkutano mkubwa wa hadhara katika mikoa ya kanda ya ziwa na kusini.

Isije ikawa mipango ya kudhuru watu na kupoteza maisha.

Lakini pia hapa ndipo CCM wanapopoteza point kwa kushindwa kutambua kuwa adui yao kimsingi sio CHADEMA, bali ni matumaini yaliyopotea kwa serikali na chama tawala. Suala la msingi hapa lingekuwa ni kuyafanya yale yote yatakayorejesha imani ya wananchi kwa kuyagusa mambo ya msingi kwa maisha yao, kiuchumi, kisiasa na kiutamaduni. CCM wana serikali; wangetumia muda wao na raslimali kustawisha maisha ya watu, hakuna mtu ambaye angewasikiliza chadema.

Nani amewaroga CCM kwa kudhani kuwa siasa za majukwaani, sawa sawa na wanavyofanya wapinzani zitawafanya wakubalike, ilhali kila watu wengi tupo hoi kwa ugumu wa maisha? Kwa akina Mwigulu, tunachokitaka ni maisha bora waliyotuahidi na si vinginevyo. Badala ya maisha bora kilichopo ni kinyume, vipi mng'ang'anize kupendwa? Ama kweli, sikio la kufa halisikii dawa!
 
Kada mahiri wa CCM na kipenzi cha Watanzania Mwigulu Nchemba yupo kwenye mikakati mizito ya kuisambaratisha CHADEMA na Kuirudisha Heshima ya Chama Kubwa CCM katika medani za siasa Tanzania. Akiwa katika mapumziko mazito amesema sasa umefika muda muafaka wa kuwajulisha Watanzania nini kipo nyuma ya Chadema amesema watanzania wakae mkao wa kushangilia ushindi.

Aidha amesema ana mpango wa kuwapumzisha vijana wawili ambao wanaonekana ni mamluki kutoka CHADEMA kwani hawakubaliki katika siasa za majukwani na wapenzi wengi wa ccm hasa vijana wa Green guard wanawachukia sana. amesema atakuja na kikosi kipya kilicholelewa na kukulia ndani ya ccm kupitia chipukizi za CCM. amesema vijana hao wawili waliokuwa wanachama na viongozi wa Bavicha ni mzigo kwa chama kwani kila wanapopita huzomewa na hawana uwezo wa kufanya siasa za majukwani.

Mwigulu amesema baada ya mapumziko anayokaribia kuyamaliza atafanya mkutano mkubwa wa hadhara katika mikoa ya kanda ya ziwa na kusini.
mbona kama..kama.....ume....ume......bun.... aaa kumbe mi ndo sijaelewa, samahani sana
 
Huo ni mkakati wa kuibomoa CCM yenyewe na sisa zake za MAJI TAKA
 
Umbea tu huu, SHONZA NA
MWAMPAMBA ni sumu kwa CHADEMA wala usimsingizie MWIGULLU, hayo ni mawazo
yako na hayana ukweli wowote.

acha,,,,,,,,,,, uongo wewe Gambaz wametumia silaha zote hadi nuclear zimedunda kwa KAMANDA CHADEMA sasa ni ipi silaha ya kutuangamiza ? umefika wakati wa Gambaz kutafuta chaka pamoja na wewe kada wao.
 
Kada mahiri wa CCM na kipenzi cha Watanzania Mwigulu Nchemba yupo kwenye mikakati mizito ya kuisambaratisha CHADEMA na Kuirudisha Heshima ya Chama Kubwa CCM katika medani za siasa Tanzania. Akiwa katika mapumziko mazito amesema sasa umefika muda muafaka wa kuwajulisha Watanzania nini kipo nyuma ya Chadema amesema watanzania wakae mkao wa kushangilia ushindi.

Aidha amesema ana mpango wa kuwapumzisha vijana wawili ambao wanaonekana ni mamluki kutoka CHADEMA kwani hawakubaliki katika siasa za majukwani na wapenzi wengi wa ccm hasa vijana wa Green guard wanawachukia sana. amesema atakuja na kikosi kipya kilicholelewa na kukulia ndani ya ccm kupitia chipukizi za CCM. amesema vijana hao wawili waliokuwa wanachama na viongozi wa Bavicha ni mzigo kwa chama kwani kila wanapopita huzomewa na hawana uwezo wa kufanya siasa za majukwani.

Mwigulu amesema baada ya mapumziko anayokaribia kuyamaliza atafanya mkutano mkubwa wa hadhara katika mikoa ya kanda ya ziwa na kusini.

huyo anawalia per diem tu nyie magamba:

  1. hana mvuto wa sura
  2. hana mvuto wa kisiasa
  3. hana mvuto wa sera
  4. ni mchafu kunuka, ananuka damu
  5. ana mawazo ya kiharamia
  6. haoneshi kama ni msomi kama anavojitapa
  7. ni b.w.e.g.e
 
Kada mahiri wa CCM na kipenzi cha Watanzania Mwigulu Nchemba yupo kwenye mikakati mizito ya kuisambaratisha CHADEMA na Kuirudisha Heshima ya Chama Kubwa CCM katika medani za siasa Tanzania. Akiwa katika mapumziko mazito amesema sasa umefika muda muafaka wa kuwajulisha Watanzania nini kipo nyuma ya Chadema amesema watanzania wakae mkao wa kushangilia ushindi.

Aidha amesema ana mpango wa kuwapumzisha vijana wawili ambao wanaonekana ni mamluki kutoka CHADEMA kwani hawakubaliki katika siasa za majukwani na wapenzi wengi wa ccm hasa vijana wa Green guard wanawachukia sana. amesema atakuja na kikosi kipya kilicholelewa na kukulia ndani ya ccm kupitia chipukizi za CCM. amesema vijana hao wawili waliokuwa wanachama na viongozi wa Bavicha ni mzigo kwa chama kwani kila wanapopita huzomewa na hawana uwezo wa kufanya siasa za majukwani.

Mwigulu amesema baada ya mapumziko anayokaribia kuyamaliza atafanya mkutano mkubwa wa hadhara katika mikoa ya kanda ya ziwa na kusini.

unaonekana upo kwenye bar mkuu na umeshalewa mapema kabisa huyu mwigulu anavyotesa mwili wako na akili yako mpaka nakuhurumia.
 
Back
Top Bottom