Gwalihenzi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 5,125
- 1,301
Wewe ni mgonjwa wa akili, tangu lini muuaji wa watu akawa kipenzi wa watanzani?Kada mahiri wa CCM na kipenzi cha Watanzania Mwigulu Nchemba yupo kwenye mikakati mizito ya kuisambaratisha CHADEMA na Kuirudisha Heshima ya Chama Kubwa CCM katika medani za siasa Tanzania.