Mwigulu ajipanga kuingusha CHADEMA nchi nzima

Mwigulu ajipanga kuingusha CHADEMA nchi nzima

Mulikuwa wapi akikusimulia mipango mfu yote hiyo?...maana sioni source!
By ze way, kama anayosema kuhusu Juliana Shenzi na Stella Mwampamba yatafanyika, nawasikitikia hawa vijana, itabidi wachungwe sana maana kwa maamuzi hayo wataweza kujidhuru!

Stella Mwampamba tena?!

Anyway, CCM inaweza kuididimiza Chadema iwapo wataamua kuboresha huduma muhimu za kijamii zinazowagusa wananchi moja kwa moja, kuongoza nchi kwa misingi ya utawala bora, kusitisha kusaini mikataba isiyo na maslahi kwa Taifa, n.k....n.k... Tofauti na hapo ni kuendelea kuipa chati chadema. u
 
Last edited by a moderator:
Umeonae, kapiga wrong number akajipange upya huyu mleta mada, hawa vijana hawashikiki, tunamshukuru Mungu sasa watanzania tumejua mengi kupitia hawa vijana.

Yapi hayo mengi?Acheni kujidanganya CCM hata mkimchukua Obama awaongozee Chama chenu bado Watanzania hawatakipenda ndio iwe akina Mtela na Shola.Kwanza mimi huwa nawashangaa wanaCHADEMA kwanini huwa wanajisumbua na hawa watu mbona hawana kitu chochote cha kuisumbua CHADEMA!!??Nawasihi wanaCHADEMA popote pale mkiziona post za akina Mwampamba msizijibu kwani kwa kuzijibu mnawapa umaarufu wa bure wasio stahili kwani ndicho wanachokitafuta.Akina Mnyika,Zitto,Mdee na wengineo wamepata umaarufu mkubwa kutokana na michango yao bungeni lakini nasikitika kuona akina Mwampamba wakijipatia umaarufu kupitia mgongoni mwa CHADEMA kwa sisi wenyewe kumpa attention.Mwampamba si Mwanasiasa mwenye uwezo wowote kwa maana tangu ajiunge CCM ameshindwa kuwapa mbinu mbadala na makini za kupambana na CHADEMA instead anaogelea ktk siasa za ki-CCM.
 
'kuirudisha heshima ya chama kubwa - ccm" so at least mnakubali chama chenu ccm hakiheshimiki tena
 
Savimbi huyo. Hakuna zaidi ya kuandaa mikakati ya kuumiza na kutesa raia na kuandaa kesi za kigaidi. Hafai kabisa katika CCM. Mikakati hiyo itaiangamiza zaidi CCM kuliko CHADEMA. Sijui ni mwendawazimu gani alimuweka huyu katika nafasi hiyo anayoitumia kukiangamiza chama na kusababisha madhara makubwa kwa raia
 
Kikolo umundu uju onangike khangi afulumbanike muntu gwake naabhanine bikunswigha!
 
umeonae, kapiga wrong number akajipange upya huyu mleta mada, hawa vijana hawashikiki, tunamshukuru mungu sasa watanzania tumejua mengi kupitia hawa vijana.

wewe ndiye huwajui vijana hao na ndio maana kila wasemalo kwako ni kweli, umepotoka shonza na mwampamba ni kama mbuni afichae kichwa mchangan na kudhan haonekan, tunawajua mwanzo mwisho na isitoshe subir shonza agombee ubungo na mtela mbozi matokeo yakitoka utampenda nape kuliko mwigulu, kama una think critically utanielewa tu.
 
Umbea tu huu, SHONZA NA MWAMPAMBA ni sumu kwa CHADEMA wala usimsingizie MWIGULLU, hayo ni mawazo yako na hayana ukweli wowote.

mkuu ni kweli kabisa, Mtela na Shonza ni sumu kwa CHADEMA ndiomaana walipiga kambi Arusha na kuambulia kata 0 na CHADEMA tukachukua kata zote 4.
 
Kada mahiri wa CCM na kipenzi cha Watanzania Mwigulu Nchemba yupo kwenye mikakati mizito ya kuisambaratisha CHADEMA na Kuirudisha Heshima ya Chama Kubwa CCM katika medani za siasa Tanzania. Akiwa katika mapumziko mazito amesema sasa umefika muda muafaka wa kuwajulisha Watanzania nini kipo nyuma ya Chadema amesema watanzania wakae mkao wa kushangilia ushindi.

Aidha amesema ana mpango wa kuwapumzisha vijana wawili ambao wanaonekana ni mamluki kutoka chadema kwani hawakubaliki katika siasa za majukwani na wapenzi wengi wa ccm hasa vijana wa Green guard wanawachukia sana. amesema atakuja na kikosi kipya kilicholelewa na kukulia ndani ya ccm kupitia chipukizi za CCM. amesema vijana hao wawili waliokuwa wanachama na viongozi wa Bavicha ni mzigo kwa chama kwani kila wanapopita huzomewa na hawana uwezo wa kufanya siasa za majukwani.

Mwigulu amesema baada ya mapumziko anayokaribia kuyamaliza atafanya mkutano mkubwa wa hadhara katika mikoa ya kanda ya ziwa na kusini.
Mr Emmy muongo huyo amekimbia aibu baada ya kukutana na kipigo cha Mbwa mwitu kule Arusha, hivyo ameona ni bora akajifiche ili upepo huu wa Arusha uishe kwanza. Na hao vilaza anaowasema yeye alifikiri mfupa ukimshina fisi mbwa atauweza??
 
Last edited by a moderator:
Kada mahiri wa CCM na kipenzi cha Watanzania Mwigulu Nchemba yupo kwenye mikakati mizito ya kuisambaratisha CHADEMA na Kuirudisha Heshima ya Chama Kubwa CCM katika medani za siasa Tanzania. Akiwa katika mapumziko mazito amesema sasa umefika muda muafaka wa kuwajulisha Watanzania nini kipo nyuma ya Chadema amesema watanzania wakae mkao wa kushangilia ushindi.

Aidha amesema ana mpango wa kuwapumzisha vijana wawili ambao wanaonekana ni mamluki kutoka chadema kwani hawakubaliki katika siasa za majukwani na wapenzi wengi wa ccm hasa vijana wa Green guard wanawachukia sana. amesema atakuja na kikosi kipya kilicholelewa na kukulia ndani ya ccm kupitia chipukizi za CCM. amesema vijana hao wawili waliokuwa wanachama na viongozi wa Bavicha ni mzigo kwa chama kwani kila wanapopita huzomewa na hawana uwezo wa kufanya siasa za majukwani.

Mwigulu amesema baada ya mapumziko anayokaribia kuyamaliza atafanya mkutano mkubwa wa hadhara katika mikoa ya kanda ya ziwa na kusini.
so anataka kuwatumia hawa chini hapa?maana jitihada za kiraia Arusha zilishindikana ameona bora awatumie green rebels wake
998861_490081497742516_1206258209_n.jpg
 
Tulia kijana hakuna mtu anawafitini hawa vijana mimi ni ccm damu soma post zangu zote JF. Vijana wa CCM waliolelewa na CCM kupitia chipukizi wanataka kuichukua CCM yao CCM si ya mwampamba na juliana wachumia Tumbo ambao wameshusha popolarity ya chama hata mwanafunzi wa drasa la kwanza anajua; hayo ni maneno ya Vijana wa CCM waliokuwa wakitetea jambo na Naibu katibu Mkuu upo hapo
Kwa uzushi na kuwalisha maneno watu hamjambo....ati Mwigulu awapumzishe vijana wawili...ati wanazomewa....hizo kampeni zenu chafu za kuwachafua akina Juliana hazitawasaidia kwani ni wazi huo ni uzushi mkubwa. Kama ni zomea zomea hii mbona ndio staili yenu mnakodisha vijana mnawanunulia viroba, wanakaa mbele wanazomea. Mnapaswa kutambua kuwa haya ni mafunzo mnayowapatia vijana ambayo watakuja kuyatumia dhidi yenu wenyewe enapo mtajaaliwa kushika dola!!!!!!....
 
hiii ni hatari hata kuandika hujui....Mwigulu ni Ugonjwa
 
Kada mahiri wa CCM na kipenzi cha Watanzania Mwigulu Nchemba yupo kwenye mikakati mizito ya kuisambaratisha CHADEMA na Kuirudisha Heshima ya Chama Kubwa CCM katika medani za siasa Tanzania. Akiwa katika mapumziko mazito amesema sasa umefika muda muafaka wa kuwajulisha Watanzania nini kipo nyuma ya Chadema amesema watanzania wakae mkao wa kushangilia ushindi.

Aidha amesema ana mpango wa kuwapumzisha vijana wawili ambao wanaonekana ni mamluki kutoka chadema kwani hawakubaliki katika siasa za majukwani na wapenzi wengi wa ccm hasa vijana wa Green guard wanawachukia sana. amesema atakuja na kikosi kipya kilicholelewa na kukulia ndani ya ccm kupitia chipukizi za CCM. amesema vijana hao wawili waliokuwa wanachama na viongozi wa Bavicha ni mzigo kwa chama kwani kila wanapopita huzomewa na hawana uwezo wa kufanya siasa za majukwani.

Mwigulu amesema baada ya mapumziko anayokaribia kuyamaliza atafanya mkutano mkubwa wa hadhara katika mikoa ya kanda ya ziwa na kusini.

Kaka hapo kwenye red angalia sana. Isije ikawa umedhibitishiwa na mwenzi wako kuwa jamaa ni kipenzi chake kisiasa pia.Nina uhakika mwenzako pia ni mtanzania.
 
Eti "amesema watanzania wakae mkao wa kushangilia ushindi".hizi akili za matope! Yaani mtu ndio anapiga propaganda hivyo!!

Poor CCM!!!
 
Ungesema Mh.Mwigulu yupo chimbo anaganga maumivu ya kata 4 arusha...lkn kusema anakuja na mkakati mzito nina shaka,Mkakati mzito wa Mwigulu ni kutembea na yule mhanga wao wa tindikali na si vingine, kama mkakati ule umedunda sidhani kama kuna mwingine.
 
Back
Top Bottom