Mwigulu ajipanga kuingusha CHADEMA nchi nzima

CCM haijawahi kurekodi matokeo mabaya katika historia yake zaidi ya ilivyorekodi chini ya uongozi wa Mwigulu (Reference; Ubunge Arumeru, Uchaguzi wa madiwani kwenye kata zake 20 ikapoteza 6).

Jamaa aendelee kupanga mikakati ya kula Per diem...
 
Akihojiwa jana Mtela Mwampamba na mtangazaji wa Hot Mix Adrian Stepp kada huyo wa CCM alijinadi kuwa anamiliki duka mitaa ya Keko na yeye ni mwajiriwa wa CCM - UVCCM na kuponda wanamtukana kwenye majukwaa kwamba ni watu wasio na kazi!!

Endapo huli litatokea ni shahiri dhahiri kada huyo sasa atakwenda kuuza ubuyu katika duka lake Keko.

Kuhusu Mwigulu kuisambaratisha CDM nadhani ni ndoto za mchana kweupe kabisa. Juliana Shonza atakuwa amejifunza kitu pamoja na mwenzake kuwa usaliti ni mbaya sana. Sasa kama Mr Emmy amekuja kutoa siri hao vijana watakula vipi hapa mjini???
 
Me sijaelewa ana mpango wa kujisambaratisha au kuisambaratisha chadema? Huyu jamaa kweli uwezo wake wa kufikiria ni finyi.
 
kuna watu wanapost ushuzi humu! sio lazima kila mtu apost , wengine someni tu! Kipenzi cha watanzania? labda kipenzi cha mke wake coz nae na mtanzania pia!

kakosea tu pale aliposema SHONZA na MWAMPAMBA hawezi siasa za majukwaani, hii ina maana gani? kumbe CHADEMA hawana sera bali wanatumia majukwaa ya siasa kuwahadaa watanzania. noted.
 
Kada mahiri wa CCM na kipenzi cha Watanzania Mwigulu Nchemba yupo kwenye mikakati mizito ya kuisambaratisha CHADEMA na Kuirudisha Heshima ya Chama Kubwa CCM katika medani za siasa Tanzania. Akiwa katika mapumziko mazito amesema sasa umefika muda muafaka wa kuwajulisha Watanzania nini kipo nyuma ya Chadema amesema watanzania wakae mkao wa kushangilia ushindi.

Aidha amesema ana mpango wa kuwapumzisha vijana wawili ambao wanaonekana ni mamluki kutoka chadema kwani hawakubaliki katika siasa za majukwani na wapenzi wengi wa ccm hasa vijana wa Green guard wanawachukia sana. amesema atakuja na kikosi kipya kilicholelewa na kukulia ndani ya ccm kupitia chipukizi za CCM. amesema vijana hao wawili waliokuwa wanachama na viongozi wa Bavicha ni mzigo kwa chama kwani kila wanapopita huzomewa na hawana uwezo wa kufanya siasa za majukwani.

Mwigulu amesema baada ya mapumziko anayokaribia kuyamaliza atafanya mkutano mkubwa wa hadhara katika mikoa ya kanda ya ziwa na kusini.

Kwa hiyo First Class Economist anaamini kwamba umaskini wa waTanzania ni kwasababu CDM kipo? CDM ndo wafujaji wa raslimali za nchi hii? He must be shooting his foot. Huko mafichoni au mapumzikoni anakouguza vidonda vyake mwambie afanye cost-benefit analysis ya anayoyapanga akizingatia thamani ya muda, raslimali watu, fedha na nguvu atakayotumia na thamani ya hivyo vyote apime na mahitaji na thamani ya ahadi za mwenyekiti wake. Hilo ndo lingekuwa jambo la maana kwake, kwa CCM, na wananchi kwa ujumla wetu. Vinginevyo hayo maficho au mapumziko ni ya kujipongeza kwa jinsi anavyoihujumu CCM na ninyi mashabiki wake mnashangilia kama mazuzu.
Sasaivi ndo mmeshtuka kwamba Shonza na Mwampamba ni mamluki? Tulieni muisikilizie dawa inavyoingia. Pole sana.
 
Kuna kile kipindi alijichimbia kama hivi watu wakawa wanaulizana yuko wapi, aliporudi watu wakajua alikuwa China na wiki tatu baadaye bomu lililotengenezwa China likarushwa kwenye mkutano wa kuhitimisha kampeni za CHADEMA katika uwanja wa SOWETO,Arusha.
 
Me sijaelewa ana mpango wa kujisambaratisha au kuisambaratisha chadema? Huyu jamaa kweli uwezo wake wa kufikiria ni finyi.

Akina Kinana wamemuachia chama yaani yeye ndiyo mwenyekiti, katibu, na mengine yote!! Ukimfanya mbwa awe kiongozi wake usishangae ukifika majalalani maana huko ndiko anachozea.
 
akitoka huko chimbo anakuja na style ya kunyonga watu maana ile ya kung'oa kucha na mabomu inaonekana kupitwa na wakati....
 
Umbea tu huu, SHONZA NA MWAMPAMBA ni sumu kwa CHADEMA wala usimsingizie MWIGULLU, hayo ni mawazo yako na hayana ukweli wowote.
Yaani post zako zote, ebu angalia umepata LIKE ngapi. Je umejifunza nini?
Join Date : 29th April 2011
Posts : 7,549
Rep Power : 0
Likes Received 261
Likes Given 1
 
kakosea tu pale aliposema SHONZA na MWAMPAMBA hawezi siasa za majukwaani, hii ina maana gani? kumbe CHADEMA hawana sera bali wanatumia majukwaa ya siasa kuwahadaa watanzania. noted.

Jomba we kiboko, we ni jeshi la mtu mmoja, kila thread unajibu na wasithubutu kuwagusa Juliana na MTEla
 
Last edited by a moderator:
Ccn inayokufa haiwezi kurudi kwa mikutano na harakati za mwigulu. Huyu anakiua tu chama.

Si ajabu hata 2015 akakosa ubunge iramba, cuz hata wao wanauliza 'vipi mbunge wetu,kwenye mabomu yupo,kwenye utekaji yupo,kwenye jeshi la green guard yupo' wao wawakilishwe na nani kama mbunge?? Wanalalamika ukosefu wa maji jimboni,elimu duni nk huku yeye akiwa buzy kutaka kuiua CDM tu miaka 3 sasa.
 
kakosea tu pale aliposema SHONZA na MWAMPAMBA hawezi siasa za majukwaani, hii ina maana gani? kumbe CHADEMA hawana sera bali wanatumia majukwaa ya siasa kuwahadaa watanzania. noted.

Jomba we kiboko, we ni jeshi la mtu mmoja, kila thread unajibu na wasithubutu kuwagusa Juliana na MTEla
 
Last edited by a moderator:
Umbea tu huu, SHONZA NA MWAMPAMBA ni sumu kwa CHADEMA wala usimsingizie MWIGULLU, hayo ni mawazo yako na hayana ukweli wowote.
Onyesha heshima kwa kiongozi wako wa CHAMA naunga mkono shonza na mwampamba kutimuliwa ccm,kwanza hawajielewi,pili hawana mvuto,na pia Mwigulu keshamchezea shonza mwili wake vya kutosha kwa hiyo hana utamu tena,sijui chadema watampokea tena? Their last card is to find a husband and try to maintain back their humanity,or nccr can fit them well.
 
Last edited by a moderator:
Kada mahiri wa CCM na kipenzi cha Watanzania Mwigulu Nchemba yupo kwenye mikakati mizito ya kuisambaratisha CHADEMA na Kuirudisha Heshima ya Chama Kubwa CCM katika medani za siasa Tanzania. Akiwa katika mapumziko mazito amesema sasa umefika muda muafaka wa kuwajulisha Watanzania nini kipo nyuma ya Chadema amesema watanzania wakae mkao wa kushangilia ushindi.

Aidha amesema ana mpango wa kuwapumzisha vijana wawili ambao wanaonekana ni mamluki kutoka chadema kwani hawakubaliki katika siasa za majukwani na wapenzi wengi wa ccm hasa vijana wa Green guard wanawachukia sana. amesema atakuja na kikosi kipya kilicholelewa na kukulia ndani ya ccm kupitia chipukizi za CCM. amesema vijana hao wawili waliokuwa wanachama na viongozi wa Bavicha ni mzigo kwa chama kwani kila wanapopita huzomewa na hawana uwezo wa kufanya siasa za majukwani.

Mwigulu amesema baada ya mapumziko anayokaribia kuyamaliza atafanya mkutano mkubwa wa hadhara katika mikoa ya kanda ya ziwa na kusini.
aje na makombati ya kichina maana ile kofia aliopewa complemantary baada ya kununua bomu
 
Hana ubavu kwani hizo ni porojo tu kama za kibogoyo kula mahindi ya kukaanga "NG'ARANGWE"
 
Huyu atakuwa yule kijna wa @sumu ametumwa na chama kutaka kupandikiza chuki kati Mwigullu dhidi ya SHONZA na MWAMPAMBA wakidhani kuwa kufanya hivyo kutabadilisha msimamo wa hawa vijana machachari wa kuendelea kuanika madudu ya CHADEMA.

Sumu ni mdau mwenzio wa magambani,au mmeanza tena kuparuana wenyewe?
 
Kwa uzushi na kuwalisha maneno watu hamjambo....ati Mwigulu awapumzishe vijana wawili...ati wanazomewa....hizo kampeni zenu chafu za kuwachafua akina Juliana hazitawasaidia kwani ni wazi huo ni uzushi mkubwa. Kama ni zomea zomea hii mbona ndio staili yenu mnakodisha vijana mnawanunulia viroba, wanakaa mbele wanazomea. Mnapaswa kutambua kuwa haya ni mafunzo mnayowapatia vijana ambayo watakuja kuyatumia dhidi yenu wenyewe enapo mtajaaliwa kushika dola!!!!!!....

Back
Top Bottom