Mwigulu ajipanga kuingusha CHADEMA nchi nzima

Mwigulu ajipanga kuingusha CHADEMA nchi nzima

Uongo mwingine hauna mbele wala nyuma.
 
huyo anawalia per diem tu nyie magamba:

  1. hana mvuto wa sura
  2. hana mvuto wa kisiasa
  3. hana mvuto wa sera
  4. ni mchafu kunuka, ananuka damu
  5. ana mawazo ya kiharamia
  6. haoneshi kama ni msomi kama anavojitapa
  7. ni b.w.e.g.e

mkuu hizi sifa zote ni dk slaa na zingine nyingi tu zipo zaidi ya hizo kwa dk slaa
 
kwa hio kuiangusha chadema ndio ilani ya ccm? yaani bora ccm wakae kimya manake kila wakifungua midomo ndio wanazidi kujianika ujinga wao, especially huyu jamaa mwenye damu ya kunguni Mwigulu
 
Last edited by a moderator:
ababu un
kwamba Mwig ulu anajipanga kurudisha heshima ya chama kubwa
. Kwa taarifa yako CCM hata ingefanyaje heshima kurudi ni
mwiko. [/B] Na kama kwa hakiri ndogo unafikiri Siasa za KIMWIGULU
zitaikoa CCM isiendelee kuzama Unajidanganya.[/I]
[/SIZE][/FONT][/I][/QUOTE]

ukipanda daladala utaskia habari ni wenye nchi hawaiki Gambaz chama ,watu wameishiwa woga kuna jamaa alikaa seat ya nyuma ya gari akiipasua serikali ya Gambaz mbele ya jwtz kuwa wanatumika kipi siasa ni noma
 
JULI SHONZA.jpg
Kwaiyo sasa Shonza na wenzake keshawatumia na sasa amewaona mzigo?
Hiyo ndiyo taarifa ya maana kwenye bandiko hili,lakini hayo mengine ni kwamba anaweweseka tuh,2014 hii hapa kwenye kona,anakula za uso kwenye chaguz za serikali za mitaa,then 2015 ndiyo bye bye,bye bye,bye bye...
 
kunawatu wengine waliachiwa uongo na mkuloni siyo rahisi kuacha kuongopa.
 
Asante kwa taarifa mr Emmy , nauliza hivi , itakuwaje kwa juliana na Mwampamba ? Hawana kazi , wataishije jamani , Mwigulu usifanye hivyo bhana ! Hadi huruma ! Kwi! Kwi! Kwi! Kwi!
 
kwa nn unamtania hivyo mwigulu wa nchemba atakupiga ww achana naye kabisa huyo mtu
 
View attachment 102978
Kwaiyo sasa Shonza na wenzake keshawatumia na sasa amewaona mzigo?
Hiyo ndiyo taarifa ya maana kwenye bandiko hili,lakini hayo mengine ni kwamba anaweweseka tuh,2014 hii hapa kwenye kona,anakula za uso kwenye chaguz za serikali za mitaa,then 2015 ndiyo bye bye,bye bye,bye bye...

hili nalo na macho yake makubwa kila siku linamwaza shonza tu,sijui kama utampata endelea kuhangaika mtoto wa kike mdogo kabisa anakutoa jasho kwa hoja mapaka anakufanya uchanganyikiwe.
 
Umbea tu huu, SHONZA NA MWAMPAMBA ni sumu kwa CHADEMA wala usimsingizie MWIGULLU, hayo ni mawazo yako na hayana ukweli wowote.

Kumbe ndivyo mnavyo jiaminisha
 
chadema hata mkijitahidi kuchafua vipi ccm hamtaishusha mtaishia kuuwa watu tu bila ya mafanikio.
 
Kinawaumbua kitabu chenu cha matukio ya maovu mliyoyafanya,tena Songea asipite kabsa huyo panya buku!!!!
 
Amesha andaa kadi feki ngapi na wanachama feki wangapi za kuigiizia kupokea kadi na wananchama kutoka Chadema? Ukifikia unaongopa mpaka ukaamini kuwa sio uongo inakuwa tabu sana.
 
Huyu atakuwa yule kijna wa sumu ametumwa na chama kutaka kupandikiza chuki kati Mwigullu dhidi ya SHONZA na MWAMPAMBA wakidhani kuwa kufanya hivyo kutabadilisha msimamo wa hawa vijana machachari wa kuendelea kuanika madudu ya CHADEMA.

propaganda za chadema ni za hali ya chini wenye fikra duni ndio wenye kuziamini
 
Huyu atakuwa yule kijna wa sumu ametumwa na chama kutaka kupandikiza chuki kati Mwigullu dhidi ya SHONZA na MWAMPAMBA wakidhani kuwa kufanya hivyo kutabadilisha msimamo wa hawa vijana machachari wa kuendelea kuanika madudu ya CHADEMA.

Madudu ya Chadema yapi!?au ni kama yale ya mgombea wa udiwani wa Chadema kule Arusha kujitoa na kuhamia kwa Savimbi!!???
 
Mr Emmy,
Wewe ni tapeli la siasa. Inavyoonekana Juliana NA MTELA unachuki nao baada ya kuona vijana wanapata shavu pale magogoni.
 
Last edited by a moderator:
Mr Emmy,
Wewe ni tapeli la siasa. Inavyoonekana Juliana NA MTELA unachuki nao baada ya kuona vijana wanapata shavu pale magogoni.
 
Last edited by a moderator:
Aliyeandika post hii mjanja sana! Yaonekana ni kada wa CHADEMA ila anawaua #Mwampamba , na #Shonza kiaina, pia ameivua nguo CCM kuwa haina mvuto tena kwa wananchi! Safi sana
 
Yaani post zako zote, ebu angalia umepata LIKE ngapi. Je umejifunza nini?
Join Date : 29th April 2011
Posts : 7,549
Rep Power :0
Likes Received 261
Likes Given 1

Na unaweza kuta hizo like kajipa mwenyewe kwa zile IDs alizonazo. Hawa jamaa unakuta mtu anazo hata kumi,anaandika upu.uzi halafu ana jisapoti mwenyewe. Kuna vituko JF!
 
Back
Top Bottom