Mwigulu aendelea kufunika Igunga

Mwigulu aendelea kufunika Igunga

Mbona walalahoi wamejazana hivyo? What were the motives kutoka kwa magamba?
 
Kapime akili yako, lipi lime kufurahisha. ndio maana umeshindwa kuingia in detail ukaishia kwenye kichwa cha habari
 
Now you are talking......

wala haimaanishi kuwa nasapoti upuuzi unaofanywa na nchemba huko igunga, kwani kafumu keshasema hataki viherehere kama nchemba. Wala sijasapoti mabandiko yako. Nachosema ni kuwa hata igunga kuna ccm pia japo cdm ni wengi zaidi. Sawa?
 
Kamfuata mke wa kada mwenzio,si unajua mwigulu anapenda wake za watu na alishafumaniwa kwenye kampeni huko igunga mbona hajarudi arumeru mashariki?????
 
Koffie!

Wee subiri M4C itakapotembelea hiyi mitaa uone tutakavyo mchana na kumchakaza huyo kibaraka wako!

Unacheza na polisi wewe,wamegundua njia nyingine sasa mabomu ya machozi hayapigwi juu, yanaelekezewa moja kwa moja kwa raia .kazi kwenu
 
Kweli mkuu. Hivi yule mwanaCCM aliyechukuliwa mke wake na Mwigulu alikuwepo kwenye mkutano pia?
hao ni wakununuliwa sisi M4C hatuna presha kuku wako mwenyewe wa nn kumshikia manati
 
Mara nyingi CCM huwachukua watu kutoka mbali, watu huchukuliwa toka vijiji vya mbali na malori kuwapeleka mkutanoni je leo watu wameenda wenyewe au?
 
Hii picha imepigwa lini? Isije kuwa ni ya mwaka 47.
 
Chama cha vitu vizito/flying object/milipuko/chama cha vingwangwala (chai na vitumbua) ccm
 
wakati umefika sasa, kutoa elimu ya uraia mtu kwa mtu, kikundi kwa kikundi....... hii ni hatari, kwa watu wanao tudhoofisha hivi kiuchumi wawe wafalme kiasi hiki.......!

wabaya sio wao ni SISI TUNAO WACHAGUA
 
wewe gamba,hebu fuatilia garama zinazotumia watu kuja kwenye mikutani kama hiyo,mmelaaniwa mnatumia umaskini wa watu ili muendelee kuwaibia.hapo watu lazima wemekula ubwabwa na elfu mbili na taarabu ya mzee yusufu inawaburudisha,

kinachowasumbua CDM ni umaskini na njaa zenu,subirini siku mkichukua hii nchi ninayoyasema watz watayaona!
 
M4c watakuja kufunua kama yeye amefunika amize dr kafumu hana hamu kashindiye anakuja kufunua anawadanganya wameshitakiwa kwa kutatua kero za wananchi hasa kuwapa chakula anashindwa kuelewa wakati wa kushugfhulikia kero sheria hairusu kutumia udhaifu wao wakati wa uchaguzi pongezi kwa makufuli aliyejua amechemka aka save time kutojhitokeza hata mahakamani maana alijua ataumbuka mbele ya watanzania na familia akamua liwalo na liwe heri lawama kuliko fedheha hao tunawaona wanamsikiliza ni changamoto kwa chama mbadala kufawikia kwa elimu wajitambue waende na wakati sio muda wa kutumiwa tena ni wakuipigania tanzania tuitakayo, "UNAWEZA KUWADANGANYA WATU MARA MOJA NA HUWEZI FANYA HIVYO WAKATI WOTE SAA YA UKOMBOZI NI SASA
 
ccm. .......ccm.......ccm. Hayo ndio maneno. Wameonesha furaha yao..... Kumbe kweli majimbo mengine ni ya ccm tu hata iweje

attachment.php

attachment.php
ukiangalia hizo kofia na vilemba utagundua kuwa kulikuwa na prior meeting na hawa watu before this move......dirty monies zinafanya kazi
 
kwani Mwigulu anataka kugombea Igunga? na amekubali kuliachia jimbo lake kwenda kwa Dr Kitila Mkumbo? yaani jamaa huyu ni looser kabisa
 
Back
Top Bottom