hawajui watendalo. Halafu kwani tulitegemea igunga yote wawe cdm?
ya rangi gani, aka baubu wee me siitaki!Hata mimi ningekuwepo ningekwenda, nani hataki fulana ya bure na kafia? Ila ukweli unaujua.
When will M4C go to Singida (Nchemba's constituency ???) I will personnally (sp) contribute for fuel and other related costs including allowances etc
hapo kwenye wekundu....kauli hiyo hiyo inaihusu pia CDM.....THINK!!!!Ndugu mleta mada unapoonyesha picha tu na kusema mwigulu kafunika bado haujaeleweka tunaomba tupatie maelezo angalau kwa ufupi aliyoongea Mwigulu ambayo yataendana na heading yako sio kuleta ushabiki tu, mkutano kuwa na watu wengi usifikiri ndo mafanikio unaweza kukusanya watu wengi na mwisho wa mkutano wote wakakudharau kutokana na kauli zako kwa hiyo ikawa sio umefunika bali umefunuka, tumeshuhudia hata kwenye misiba ya Majambazi watu huwa wengi sana usifikiri wamefika kwa hudhuni ya kufa kwa huyo jambazi bali hufika kwa ajili ya kuhakikisha kweli jamaa kafa? kwa hiyo hata hao unowaona wanahudhuria mikutano ya CCM ni kuhakikisha kama kweli CCM imekufa na hii inadhibitika kutokana na maneno yanayotolewa katika mikutano hiyo. nafikiri umenipata Koffie
Mtoa mada, tunao ishi igunga tunajuwa ukweli. Aache uwongo
Naona amelakiwa na wake za watu, waume wa Igunga kuweni macho, mfungulia zipu wake za watu kaingia.ni balaa Igunga. Huyu jamaa kawaharibia sana CDM yaani kalakiwa kama mfalme
aisifuye mvua.................Naona amelakiwa na wake za watu, waume wa Igunga kuweni macho, mfungulia zipu wake za watu kaingia.
Nchemba kiboko ya Chadema.
na wewe nadhani utakuwa muhanga wake......muulize vizuri mkeo au sister yakoaisifuye mvua.................
weee mkareeee... umegundua hilo!! noumer