- Thread starter
- #81
na wewe nadhani utakuwa muhanga wake......muulize vizuri mkeo au sister yako
Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeee's.............................
na wewe nadhani utakuwa muhanga wake......muulize vizuri mkeo au sister yako
Usisifie ujinga wake wanaoliwa ni wake zenu wana CCM au kwa sababu wanarudi home na maburungutu mnaona poa tu, fedheha hiyo.aisifuye mvua.................
Ukiona mtu yuko sisimu nyakati hzi ujue ni mweu au ni mzee sana ambao akili yao ni ile ya vichanga kula elf 3 tofauti xaxa
CCM. .......CCM.......CCM. HAYO NDIO MANENO. WAMEONESHA FURAHA YAO.....Kumbe kweli majimbo mengine ni ya CCM tu hata iweje
hizo ndizo busara wanazokosa hawa CDM wamekaa kisharishari tu wakichukua nchi watamwaga damu. Tuwaepuke kama ukoma. Mwigulu kashaonyesha njia tumuunge mkono tu, anawaweza haosio kweli,ni ushindani tu wa kisiasa.vyama vyote vina wazee,vijana na kina mama/wanawake,ni uvumilivu tu wa kisiasa,haipaswi kutukuna.
Hapo Nkinga nilitegemea Mwigulu ashikwe ugoni maana hapo pana totoz toka maeneo tofauti Tanzania wanasomea u-nurseMkuu huo ndo ukweli Nchemba hajapata watu wengi.hata hapa Nkinga watu walikuwa wachache sana.Walivutwa na miziki baada ya kuanza kuhutubia watu walianza kuondoka.
Nchemba kiboko ya Chadema.
Acha kutumia mimea korofi kijanaKoffi kuna siku ushawahi kuja hapa na kuanzisha mada ya kumpigia debe Zitto leo unampigia debe Mwigulu! Sikuelewi, aisee!
View attachment 64842 ni balaa Igunga. Huyu jamaa kawaharibia sana CDM yaani kalakiwa kama mfalme
Hawa igunga ni wanaume. Hakuna ugaidi kule. Huwezi kukumbatia chama ambacho viongozi wake woote hawjawahi kuajiriwa kazi yeyote zaidi ya ukasisi na disco joker na bar
Wamemlaki kama mfalme gani, mfalme Juha au?.......................wengi wa hao walioenda hapo wamefuata chapaa maana wanajua kuwa huyo ndo mwenye kugawa fedha CCM pia wengine wameenda ili wamjue vizuri ili zikianza kampeni rasmi wawe makini nae asije ''kuwa-zinzia'' wake zao.View attachment 64842 ni balaa Igunga. Huyu jamaa kawaharibia sana CDM yaani kalakiwa kama mfalme
Jamaa anachana kwa wembe na kuacha vidonda vikali sana kwa watu fulani..............
View attachment 64898
Nono you mean Mwigulu anachana na msumeno siyo?Wenzio huku hawatumii viwembe, wao wanachana kwa msomeno na kuacha majeraha yaponayo baada muda mrefu na kuacha makovu yasiyofutika kamwe.