Koffie nilikuwepo ktk mkutano wa mwigulu hapa igunga,...mkutano ulianza vema, watu kiasi walijitokeza, wengi wakiwa na shauku ya kusikia nini hasa kimesababisha kafumu kuondolewa ubunge. Mwigulu alitumia muda mwingi kumkashifu Dr Slaa, wengi hawakupendezwa na hilo, zaidi walishangazwa pale mwigulu alipodai cdm kimeshinda kesi kwa sababu jaji aliyetoa hukumu kazaliwa kijiji kimoja na Mbowe, mbaya zaidi watu karibu nusu ya mkutano walianza kuondoka baada ya mwigulu kuanza kukihusisha cdm na mauaji ya Morogoro na Iringa. Kwa hakika mwigulu na dc kingu hawatasahau aibu iliyojitokeza kwa watu kuwaacha mkutanoni. Najiuliza, ccm kimeishiwa kiasi hiki? Koffie na wenzako km inalipa kujidanganya huku.... keep going!
Ndoto za mchana hizo mkuu....face reality for your salvationHawa ni watu wa kule vijijini sio wilayani.....tena bila shaka ukiwauliza mmekwenda kumlaki nani...watakujibu Nyerere!
Si unaona wengi wao wanaonekana wamekuja kuangalia huduma ile ya mahindi kama kwenye kampeni.....kila neno analoongea Mwigulu bila shaka wenyewe wanasikia "wali maharage"
hana mvuto, atafute kazi nyingine ya kufanya siyo majukwaani anatuharibia ccm kila anakoenda. Arumenu kaharibu akakimbia usiku wa manane bila kuaga.
ukweli uko wazi chadema kushinda urais 2015 hiyo ni ndoto tena kubwa sana ambayo hatekelezeki.... Jpangeni msikulupuke na urais jengeni chama bado wananchi hawakikubali cdm sambazeni na kujenga chama kwanza... Kama kweli mnataka chukua nchi kwa kura kwenye sanduku ukweli ni bado labda 2030 labda...... Mashabiki wenu wengi watu wa mijini ambao hawaeleweki .... Na ukweli uko wazi 2015 wabunge wengi wa cdm hawatarudi bungeni kwani hakuna tulichokiona wanafanya angalau zito kabwe kidogo.. -cdmntafanya vs ccm-nimefanya.wewe gamba,hebu fuatilia garama zinazotumia watu kuja kwenye mikutani kama hiyo,mmelaaniwa mnatumia umaskini wa watu ili muendelee kuwaibia.hapo watu lazima wemekula ubwabwa na elfu mbili na taarabu ya mzee yusufu inawaburudisha,
haya *MAPOKEZI* yaliwaCOST million ngapi?lolzView attachment 64842 ni balaa Igunga. Huyu jamaa kawaharibia sana CDM yaani kalakiwa kama mfalme
Million 85,000,000/= bado zile za kununulia Fuso Vifaa vya muziki na ufundi kwa kuvifunga kwenye hiyo Fuso.haya *MAPOKEZI* yaliwaCOST million ngapi?lolz
Hawa ni watu wa kule vijijini sio wilayani.....tena bila shaka ukiwauliza mmekwenda kumlaki nani...watakujibu Nyerere!
Si unaona wengi wao wanaonekana wamekuja kuangalia huduma ile ya mahindi kama kwenye kampeni.....kila neno analoongea Mwigulu bila shaka wenyewe wanasikia "wali maharage"
ukweli uko wazi chadema kushinda urais 2015 hiyo ni ndoto tena kubwa sana ambayo hatekelezeki.... Jpangeni msikulupuke na urais jengeni chama bado wananchi hawakikubali cdm sambazeni na kujenga chama kwanza... Kama kweli mnataka chukua nchi kwa kura kwenye sanduku ukweli ni bado labda 2030 labda...... Mashabiki wenu wengi watu wa mijini ambao hawaeleweki .... Na ukweli uko wazi 2015 wabunge wengi wa cdm hawatarudi bungeni kwani hakuna tulichokiona wanafanya angalau zito kabwe kidogo.. -cdmntafanya vs ccm-nimefanya.
huu ni wakati wa kuwapa ushauri chadema maana siasa yao bado changa, chama chenyewe hakijulikani halafu kinawanachama mashabiki wala sio wakereketwa kama ilivyo kwa ccm, ila wanajitutumua kusema m4c itawapa nchi? hawa jamaa wanaota mchana mchana.