Mwigulu aendelea kufunika Igunga

Mwigulu aendelea kufunika Igunga

Kweli hakuna marefu yasiyo na ncha. Nani alijua takriban miaka 3 baada ya uchaguzi mkuu CCM wangekuwa wanashindana na chama 'msimu'? better still, nani alijua CCM, chama kilichoshiriki harakati za ukombozi barani Afrika leo hii kingekuwa kinamtegemea mtu kama Mwigulu 'kujitangaza'?

sasa unataka wamtegemee nani? kama vp peleka mkeo akasaidie kampeni.
 
Let us wait and see how long this Funika gonna last. Dr. Mkumbo is watching your backs very closely.
 
Hivi huyu si ni Katibu wa Fedha na Uchumi? sasa mbona yeye muda mwingi anautumia kuropoka majukwaani hivi CCM pamoja na miradi mingi waliyochukua kwa nguvu toka kwa wananchi ambayo inaingiza fedha nyingi,ruzuku na hata zile pesa toka China anajua lolote linaloendelea au basi tuu ni sifa ya kutukana jukwaani? maana isije kuwa wajanja wanamsakizia majukwaani ili wapate muda wa kukimung'unyua chama mwisho mwisho kabla hakijaaga dunia 2015
 
Koffie!

Wee subiri M4C itakapotembelea hiyi mitaa uone tutakavyo mchana na kumchakaza huyo kibaraka wako!
tatizo nik wamba mikutano wafanye wao tu tukifanya sisi ni kutuulia tu watanzania wenzetu.ila kitaeleweka tu.
 
Mimi naomba kujua, Je wamekata rufaa au wamekubali hukumu na wako tayari tume ya uchaguzi itangaze mchakato wa uchaguzi mwingine?
 
njaa na umaskini wa hao wanaovaa nguo za ccm vinawafanya kushabikia ccm.mnaoshabikia ccm mtadanganywa na vitu vidogo hadi lini?kubalini ukweli,uhalisia na uzalendo wa nchi hii kwa kubadilika na kuchagua CHADEMA kwa mabadiliko ya kweli.
 
Mimi naomba kujua, Je wamekata rufaa au wamekubali hukumu na wako tayari tume ya uchaguzi itangaze mchakato wa uchaguzi mwingine?
Kafumu kawagomea. Kama rufaa wakate wao kama chama, kitu ambacho sina hakika kama kinakubalika kisheria. Kuna kina dalili za kurudiwa uchaguzi Desemba. Hapo ndipo tutajua kama Nchemba atafunika au vipi.
 
C.c.m ya mchemba haina kitu zaidi ya mipasho iliyoumbuliwa na mahakama. Mchemba ninahofu na uewzo wake wa kiakili kwani hana tofauti na akili za mbuzi mtoto.
 
Mimi naomba kujua, Je wamekata rufaa au wamekubali hukumu na wako tayari tume ya uchaguzi itangaze mchakato wa uchaguzi mwingine?

CCM itaiga kifo cha KANU leo nimesikia taarifa ya habari kuwa KANU haitaweka mgombea wa uraisi katika uchaguzi ujao > Kanu imeamua kumuunga mkono Raila Odiga? inatia huruma na CCM yetu ndi inakoelekea??
 
Wajinga ndio waliowao. Kama watu wenye akili wanathubutu kukaa na kumsikiliza mfyatua matusi ujue kuna tatizo.
 
Ashukuriwe Mungu kwa kumuwezesha Dr. Kafumu kujitambua na kuchukua uamuzi wa busara kwamba yeye kama Kafumu amekubali ila wenye chama chao wakate rufaa. Excellent Kafumu na najua watakubaliana nao then December, wanapigwa kama wamesimama.
 
Safi sana Mwigulu kwa kazi nzuri ya ku-update itikadi ya chama cha mapinduzi, kwa ufupi ni kwamba CCM inakubalika na watanzania wengi na kama mfumo wa vyama vingi ulivyo anaependwa na wengi anachukua dola, haijalishi walioshindwa kama itawauma sana rohoni au watakubali kimya kimya, CCM itaongoza Tanzania kwa sababu ya kuaminiwa na watanzania walio wengi kuwa na viongozi waadilifu, wanyenyekevu na wenye uzalendo. Hiyo ni imani ambayo vyama pinzani hawawezi kuipata kwa hali na mali, hata wakitumia matusi, maandamo na fujo hawawezi kuipata. Maeneo ninayoishi watu walimpa Mhe.Mnyika kura kwa kuwa CCM alisimamishwa mtu ambae hakuwa na sifa tajwa hapo, ila naamini kwa ubovu wa utekelezaji wa ahadi za Mhe. Mnyika jimbo la ubungo halipati aendelee na uongozi ndani ya chama chake lakini sio ubungo, wananchi tunachukizwa na kususa kwa kiongozi huyu na kutoka nje ya ukumbi wa bunge bila kuwa na sababu za msingi, nidhamu na kauli mbovu za kiongozi huyu Mhe. Mnyika kumempotezea mvuto kisiasa, WATU TUNAANGALIA WATU SIO UCHAMA.
 
Let us wait and see how long this Funika gonna last. Dr. Mkumbo is watching your backs very closely.
Kwa taarifa yako huyo MKUMBO hakuna anayemjua Iramba, bora hata ungemwongelea Kiula au Kilimba. Huyo Mkumbo mnamdanganya tu,, atapigwa fasta sana. Hakuna anayemjua. Kwanza kafanya lipi Iramba mpaka ajulikane.....negative
 
Back
Top Bottom