hivi CHADEMA mtaacha lini kumuota Mwigulu?
hivi CHADEMA mtaacha lini kumuota Mwigulu?
yule ndio mwalimu wa viongozi wote wa chadema pamoja na ww ambaye ni form four failure kama mbowemwigulu -------- hana uwezo wakufikria, mm nina wasiwasi hata kiwango cha elimu yake anaelimu gan mlopokaji huyo?
damu ya watu mliouwa iringa, morogoro, singida na arusha itawatafuna mpaka siku mnaenda kaburini. hongera mwigulu kwa kuyaumbua haya manyang'auNakushauri mnakapompeleka kupimwa Mirembe na wewe upimwe pia.
Hivi hukusikia kuwa Hiltler alikuwa na hayo matatizo lakini Wajerumani hawakujua mpaka alipokufa?? Uwe walau unaangalia History channel kwenye DSTV kama huna muda wa kusoma vitabu!!
Kila ukilala Mwigulu kazi unayo sasa si aje nyumbani kabisa akahalalishe? Ili uwe nae karibu all the time.
ulaaniwe wewe muuaji. mwigulu ndio mpango mzima. atwaumbua mipango yetu yote ya kiuwaji na kilaghai mpaka msambaratike muwaombe radhi watzUUUhh Hii laana kwa jimbo langu Iramba Magharibi sijui itatokaje, bado sielewi.
mwigulu kuwa Mbunge wa Iramba imekuwa laana kwa jimbo na singida yote-Mungu turudishie uelewa tuliopkokwa kwa njia za kishirikina tukachagua huyu mtu.
ww ndio mwehu ndio mana unatukana. mwigulu atawachapa mboko za mgongo mpaka mkome kabisa kuuawewe mwehu umesoma uzi,au umepitiliza tu kujibu
UUUhh Hii laana kwa jimbo langu Iramba Magharibi sijui itatokaje, bado sielewi.
mwigulu kuwa Mbunge wa Iramba imekuwa laana kwa jimbo na singida yote-Mungu turudishie uelewa tuliopkokwa kwa njia za kishirikina tukachagua huyu mtu.
mtaongea lugha zote hadi za wanyama ila dawa itazidi kuwaingia kila siku hadi muache kula roho za watuMWIGULU "MBINGUNI' abadili jina Mbinguni ni kwa Sir God, sio kwa watu kama huyo. Tumwite NGIKULU jina hilo litamfaa maana hata hilo sio lake.
we shud rescue kuna watu wameanza kupachukia kwao sababu ya huy mpuuzi
Naibu katibu mkuu wa CCM bara Mwingulu Nchemba akiuliza swali la nyongeza kwa waziri ofisi ya rais utawala bora Mkuchika amesema ni kwa nini viongozi ambao wamesababisha vifo vya watu huko Singida, Arusha akiwataja viongozi wakuu wa CHADEMA; Mheshimiwa Mbowe na Slaa kuwa wafungwe ndio wamesababisha vifo hivyo.
Kama kweli huyu ndio kiongozi wa CCM basi wamekosea kumpatia hiyo nafasi kubwa na adimu ni hivi karibuni tu mahakama ya mkoa wa Singida imetoa hukumu ya kesi iliyokuwa inawakabili viongozi wa Chadema mhadhiri wa chuo kikuu cha Dar Kitila Mkumbo na Mwita Waitara kuwa hawana kesi ya kujibu kutokana na huyo nchemba kushindwa kufika mahakamani.
Na pia huku Arusha tume ya haki za binadamu na utawala bora wamekwisha toa taarifa yao na kuituhumu serikali kuwa ilitumia nguvu kubwa na polisi walituhumiwa kuua.
Haya kimbieni mkachukue buku 7 yenu kwa Mwigulu Nchemba.KIMENUKA BUNGENI,MH.MWIGULU NCHEMBA AWALIPUA MBOWE NA DR.SLAA KWA MAUAJI YA NDAGO,IRINGA,ARUSHA NA MOROGORO![]()
ANAPIGILIA MSUMARI KWA KUSEMA "JELA NDIO WANAKOSTAHILI MBOWE NA DR.SLAA "
MBOWE AINAINAMISHA KICHWA CHINI BAADA YA MWIGULU KUMLIPUA,
Ni kiongozi jasiri,ni kiongozi mzalendo,nikijana shupavu,amejitolea kuipigania Tanzania ya kweli,amejitolea kupambana na wahujumu wa nchi popote pale Tanzania,Ni Mh.Mwigulu lameck Nchemba leo tena anafanya kile CHADEMA wapata maumivu yasiyonakifani,Mwigulu nchemba amewalipua kisawa sawa Vioongozi wa CHADEMA wa juu wakiongozwa na Freeman aikael Mbowe na Dr.slaa kuhusika na umwagaji damu za Watanzania wasio na hatia.Ni siku leo asubuhi kwenye kipindi cha Maswali na majibu,Mh.Mwigulu Nchemba akitoa swali la nyongeza anasema "Ndani ya miaka miwili CHADEMA wakiongozwa na Freeman Mbowe na Dr.slaa wamesababisha vifo Arusha,Ndago,Morogopro na Iringa.Kwa mauaji haya yaliyotokana na ukatili wao na kutojali maisha ya watu kwa viongozi hawa wa CHADEMA.Mbowe na Slaa wanastahili kuwa JELA na walistahili kuwa jela siku nyingi".Anasema Mbunge wa Iramba Magharibi.Baada ya kauli hiyo Ukumbi wa bunge unalindima kwa makofi mazito.Huku upande wa CHADEMA kila mmoja akiishia kukunja sura.![]()
![]()
Safi sana Mwigulu Nchemba,mbona watakukoma sana hawa CHADEMA na mwaka 2015 ndio kabisa kwisha habari yao.
![]()