Mwigulu achafua hewa bungeni na kuzua miguno

Mwigulu achafua hewa bungeni na kuzua miguno

Status
Not open for further replies.
Alichosema mhe Mchemba kuhusu waheshimiwa Slaa na Mbowe ni wauwaji na wavunjifu wa amani kwa kusababisha vifo vya watanzania kauli hii ianachembe ya ukweli? kauli hii alitamka katika kikao cha 2 mkutano wa 12 wa bunge cha tarehe 28.8.2013 alikuwa anachangia kuhusu sheria ya mwaka1995 kuwadhibiti wanasiasa kudumisha amani,kauli ya mhe Mchema kwa waheshimiwa hawa kutochukuliwa hatuwa za kisheria inadhihirisha ukweli wa serikali ya chama cha mapiduzi ni dhaifu kwa kushidwa kusimamia sheria zake,kushindwa huku kwa serikali sikwa bahati mbaya bali nikwa kubaini mvunjivu wa amani na kusababisha vifo vya wa tanzania ni serikali ya chama cha mapinduzi kwa mtazamo huu kauli ya mhe Mchema siyakweli ni ya upotoshaji kwa watanzania,serikali ya chama cha mapinduzi kwa makusudi iliwanyima watanzani elimu kwa kiasi cha kushindwa kutafakari kauli za kipuuzi kama za wakina Mhe Mchemba.
 
Chemba ya maji taka haijadiliwi hapa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mwigulu Nchemba ni mpuuzi wa kupuuzwa na mambo yake ya kipuuzi. Ati Naibu Katibu wa CCM. Hovyoooo.
 
Hajawahi kuwa mkweli kwa hiyo haishangazi. Alishawahi kusema anao ushahidi ambao atautoa hata mbinguni lakini ikadhihirika ni uongo. Akatembeza msukule wake kwenye majukwaa akiwa amesingizia watu ni magaidi ikadhihirika ni uongo. Kwa nini tumwamini kwa hilo? Huyo anastahili kutubu uovu anaowafanyia wenzake. Ajue kuna maisha baada ya haya.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
mwigulu ni mfu sasa nyie mnamjadili hapa mtu ambae ubungo wake full mucus shit leave that idiot.
 
Jamani mlitegea CHEMBA ataongea kitu chamaana sasa kwani siku akiongea kitu cha maana ndiyo itakuwa ajabu sana.
 
Yule mpuuzi hadi vijana wenzake ccm damu hawampendi,he is psychopath and very opportunistic mfuata upepo,coward,monster,dracula

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Alipaswa kuwa milembe hosp huyu mtu,ataleta mauaji ya kimbari hapa tanzania
 
Ni lini mara ya mwisho huyu Savimbi alisema kweli? He is a follower of Satan who is a liar and the father of all lies. Huyu ameshachuja sana.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mwigulu ni kama ubongo wake umechoka kufikiri nashauli ahachane na siasa ajaribu kufanya vitu vingine.
 
Mwigulu ni kama ubongo wake umechoka kufikiri nashauli ahachane na siasa ajaribu kufanya vitu vingine.

Nimemsikia akisema DR Slaa na Mbowe walistahili kuwa Magereza kwa sasa. Nikakumbuka kauli ya yule Mhadhiri wa UDSM aliyesema Mwigulu Nchemba amegeuka kuwa DPP wa Polisi kwa kuwa akisema watu hukamatwa kwa kuitwa magaidi na kutiwa Ndani. Leo naona ameExtend UDPP na kuwa A Judicial Excutioner wa Kina Mbowe.
 
Nimefungua hii thread nikakutana na harafu kali ya chemba la choo..
 
Ukiona post yenye jina mwigulu ujue utakutana na upuuzi, nawashauri wana jf kutokusoma post yoyote ya mwigulu,
 
Mbunge wa iramba magharibi na naibu katibu mkuu ccm mwigulu nchemba amesema kuwa mauaji ya wananchi yaliyotokea katika mikutano ya chadema morogoro,arusha,singida na iringa ni ya kukemea kwa nguvu zote na kwamba viongozi wa chadema taifa hasa mbowe na slaa wakamatwe na kufikishwa mahakamani haraka. Source; tanzania daima leo.
 
Nadhani ni bora apeleke ushahidi wake polisi, kama vile yeye huwa anavyowakazania akina Mbowe wapeleke wa kwao polisi!

I hate this man! I really do! Mropokaji aliyebobea anayetegemea mbeleko ya polisi katika kila matendo yake maovu!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom