Mwigizaji wa Ghana aliyepiga picha za utupu na mtoto wake, aomba radhi

Leo asubuhi huko Facebook kuna dada simfahamu kabisa, kanifuata na maneno matamu mpaka nikashangaa. Mwisho akaniomba nimtumie picha ya Abdallah Kichwa Wazi. Na mimi bila kufikiria nikazifotoa kama nne hivi, nikazituma zote. Hivi sasa hapa nilipo najiuliza, sijui nimekwama wapi?
 
Mwigizaji wa Ghana wa Rosemond Brown maarufu kama Akuapem Poloo ameomba radhi baada ya kupost picha ya utupu (kama alivyozaliwa) akiwa na mtoto wake wa miaka saba.

Akuapem Poloo alipost picha hiyo kwenye ukurasa wake wa instagram Jumatatu, Juni 30, 2020 kusherehekea siku ya kuzaliwa ya mtoto wake aliyetimiza miaka saba.

Watu mbalimbali, vyombo vya habari, walimtuhumu mwigizaji huyo pamoja na mashirika kadhaa ya asasi za kiraia, na Shirika la Haki za watoto la Kimataifa kuitaka Idara ya Upelelezi wa Jinai ya Polisi (CID) ya Huduma ya Polisi ya Ghana kuangalia jambo hilo kuwa ni kama uvunjaji wa kanuni ya ustawi wa Sheria ya Mtoto.

Pamoja na kuomba msamaha alisema; Yeye huoga bafuni pamoja na mtoto wake huyo kila wakati.View attachment 1495212
bora huyu kawa muwazi kwenye jamii kuhusu ujinga wake. kuna wengine wako humu na watamponda lakini wanaoga na vimbwa vya kizungu
 
Mwigizaji wa Ghana wa Rosemond Brown maarufu kama Akuapem Poloo ameomba radhi baada ya kupost picha ya utupu (kama alivyozaliwa) akiwa na mtoto wake wa miaka saba.

Akuapem Poloo alipost picha hiyo kwenye ukurasa wake wa instagram Jumatatu, Juni 30, 2020 kusherehekea siku ya kuzaliwa ya mtoto wake aliyetimiza miaka saba.

Watu mbalimbali, vyombo vya habari, walimtuhumu mwigizaji huyo pamoja na mashirika kadhaa ya asasi za kiraia, na Shirika la Haki za watoto la Kimataifa kuitaka Idara ya Upelelezi wa Jinai ya Polisi (CID) ya Huduma ya Polisi ya Ghana kuangalia jambo hilo kuwa ni kama uvunjaji wa kanuni ya ustawi wa Sheria ya Mtoto.

Pamoja na kuomba msamaha alisema; Yeye huoga bafuni pamoja na mtoto wake huyo kila wakati.View attachment 1495212
Wanamsingizia tu!!! hebu nitumie hiyo picha tafadhali
 
Leo asubuhi huko Facebook kuna dada simfahamu kabisa, kanifuata na maneno matamu mpaka nikashangaa. Mwisho akaniomba nimtumie picha ya Abdallah Kichwa Wazi. Na mimi bila kufikiria nikazifotoa kama nne hivi, nikazituma zote. Hivi sasa hapa nilipo najiuliza, sijui nimekwama wapi?
Hajakupa majibu?
 
Kuna umuhimu wanaume tuwe makini sana na aina ya wanawake tunaowazalisha.
 
Back
Top Bottom