Mwigamba: Baada ya Zitto ni Dr. Slaa

Ukishindana na chadema unashindana na sauti ya mungu hutoweza hakika,una mamuluki waliokuwa ndani ya chama wanavyojitokeza wenyewe,hivyo kuturahisihia kazi ya kuwaondoa,wapi shibuda jiwe alilopigwa goliath nawe ninakujia.
 
Je, wanaopelekwa pelekwa ndio wanaondolewa katika chama. Kwa hiyo Zitto, Dk. Kitila, Mwigamba walikuwa wanapelekwa pelekwa?

Pili, kama Slaa anapelekwa pelekwa tu kwanini wamuondoe?
 
jengeni taasisi imara acheni maneno mengi, tunataka vitu tangible na vyenye manufaa kwa welfare of the sons and daughters of the soil,
 

Wakuu, nadhani laiti Dr Slaa angemsikiliza Mwigamba angeona hatma yake
As waingereza wanavyosema Dr Slaa never saw this coming! But he was forewarned!
Na kati ya wanachadema wa awali kumpokea Lowassa ni Mbowe na Lema! Muda umefika tuangalie hata mambo yaliyopita kwa umakini tutaona kuwa dalili zote zilikuwepo lakini tulizipuuza.
 
Wapuuzwe walio kwenye upuuzi wa kukwamisha mapambano ya kuondoa ccm mwigamba sio wa kumwamini aliwahi kumnanga zitto wakati zzk ana mzozo wa kuutaka uenyekiti. Nitafukua makala yake.
 
Wapuuzwe walio kwenye upuuzi wa kukwamisha mapambano ya kuondoa ccm mwigamba sio wa kumwamini aliwahi kumnanga zitto wakati zzk ana mzozo wa kuutaka uenyekiti. Nitafukua makala yake.

Kuongea lugha chafu na kebehi haisaidii. Mnatumia kisingizio ya kuing'oa CCM kuhalalisha ubadilifu na ukiukaji wa misingi tuliyojiwekea wana mageuzi kupambana na ufisadi. Iko wapi agenda ya Ufisadi? Mmekuwa bubu baada ya kumpokea Lowassa!
Sasa ndo ujue wengi tunazidi kufunguka macho na kutambua wanaohujumu harakati za mageuzi ya kweli na hakika ya kuondoa umaskini ni ninyi Chadema maslahi! Mnawaondoa wale wote waaminifu kama Dr Slaa ili muweze kuendelee kutafuna vizuri na kuturubuni wananchi!
 

We Na akili Zako Zote Umeona Fisadi Ni Lowassa Tu? Si Tuntoa Mfumo Wa Kifisadi Ulioko CCM. Hatutishiki Na Maneno Kama Hayo
 
We Na akili Zako Zote Umeona Fisadi Ni Lowassa Tu? Si Tuntoa Mfumo Wa Kifisadi Ulioko CCM. Hatutishiki Na Maneno Kama Hayo

Nachokushukuru angalau unajua LOWASSA ni fisadi japo kuna mafisadi wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…