Mapengo 17
R I P
- Mar 28, 2014
- 1,228
- 618
Aliyekuwa katibu Mkuu wa ACT jana alipata aibu ya mwaka kwa kuchaniwa suruali na shati hadharani na kijana anayemdai shilingi milioni moja. Kijana huyu anaitwa Emmanuel Gerard ambaye ni mratibu wa chama hicho Kanda ya Kaskazini.
Source: Tz Daima uk 8
My take: ukisikia kuganga njaa ndio hii, kuanzisha chama hadi kiwe chama si lelemama kama kina Mwigamba walivyodhani
Mijitu mingine sijui kama ikoje mbon gazeti la Raia Tanzania wameeleza kitu tofauti na kinachoelezwa kuwa kimeandikwa Tanzania Daima?