Mwigamba Achaniwa suruali kwa kudaiwa

Mwigamba Achaniwa suruali kwa kudaiwa

Status
Not open for further replies.
Kha ha ha haaaaaaaaaaaa!!!!!!

Angempa na za uso kadhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!
 
Soma vizuri kwenye gazeti ametoka arusha kwa ndege juzi na jana ndiyo kafanya alichofanya kwanza tiketi ya ndege shilingi ngapi halafu unadai one milioni hiyo akili matope.

We jamaa kila siku huwa naona unatetea CCM, leo tena umeamkia ACT! Au ndo yale madai kuwa ACT ni mtoto wa CCM?
 
Mwigamba historia imemhukumu bado Kitila na kizito hao watamwagiwa maji ya chooni Limbu hawezi kuwaacha wakavu
 
Hakuna deni hapo ni uhuni mtupu watu tunajua bana kwani ameshindwa kumdai sehemu zote mpaka akamdai ofisini kwa msajili,sote tunajua kuwa yule kijana katoka arusha kwa kazi moja tu ya kuja kufanya fujo kwa mwigamba ili mwigamba ahamaki ashindwe kuendesha chama chadema mlianza na shetani mtamaliza na shetani.
Kweli nimeamini magamba mna akili za kizombi. Wewe unaambiwa huyo jamaa ni kiongozi wa ACT sasa sijui CHADEMA imeingiaje hapo? Wakati mwingine jitahidi japo kulazimisha kufikiria unayoandika mpumbavu wewe.
 
We jamaa kila siku huwa naona unatetea CCM, leo tena umeamkia ACT! Au ndo yale madai kuwa ACT ni mtoto wa CCM?
huyo.. Simiyu Yetu siyo mzima kiakili yuko tayari kunywa kkiny....si cha jk ilimradi kumfurahisha tu
 
Last edited by a moderator:
Kweli nimeamini magamba mna akili za kizombi. Wewe unaambiwa huyo jamaa ni kiongozi wa ACT sasa sijui CHADEMA imeingiaje hapo? Wakati mwingine jitahidi japo kulazimisha kufikiria unayoandika mpumbavu wewe.

huyo .. gsu akili yake imegandaaa
 
Last edited by a moderator:
Hakuna deni hapo ni uhuni mtupu watu tunajua bana kwani ameshindwa kumdai sehemu zote mpaka akamdai ofisini kwa msajili,sote tunajua kuwa yule kijana katoka arusha kwa kazi moja tu ya kuja kufanya fujo kwa mwigamba ili mwigamba ahamaki ashindwe kuendesha chama chadema mlianza na shetani mtamaliza na shetani.

Bwana wako Mwigulu kashindwa,Nepi kashindwa,Zombe mkuu utabiri haujatimia sasa wamekuachia wewe dada peke yako kweli utaweza binti?
 
Tanua ubongo kabla ujapanua mdomo

attachment.php
 
Soma vizuri kwenye gazeti ametoka arusha kwa ndege juzi na jana ndiyo kafanya alichofanya kwanza tiketi ya ndege shilingi ngapi halafu unadai one milioni hiyo akili matope.
Kwani umeambiwa hakuwa na shughuri nyingine zaidi ya kudai deni?
 
siasa za chadema za kijinga sana mnakodi vijana toka arusha kwenda kumfanyia fujo mwingamba ili iweje ni siasa za kipuuzi sana atayashinda yote haya sijui mtajificha wapi.

kaka acha kufikiri kupitia makalio,mnapopuwa na jeshi mission yenu ni kulinda mipaka ya nchi si kupindua nchi, so kama ni hivyo why chama cha upinzani kinapinga upinzani,badala ya kupinga chama kilicho madarakani,,,
 
siasa za chadema za kijinga sana mnakodi vijana toka Arusha kwenda kumfanyia fujo mwingamba ili iweje ni siasa za kipuuzi sana atayashinda yote haya sijui mtajificha wapi.

Kumbe Mratibu wa Chama cha Wasaliti haaminiki nae... Ametumwa!!
 
Soma vizuri kwenye gazeti ametoka arusha kwa ndege juzi na jana ndiyo kafanya alichofanya kwanza tiketi ya ndege shilingi ngapi halafu unadai one milioni hiyo akili matope.

Hilo lisikupe shida, huyo Mwigamba siasa

-Ameifanyia Arusha kwa muda mrefu

-Imempa umaarufu akiwa Arusha

Kwa maana hiyo, rafiki, jamaa, wadeni na maaduwi zake watakuwa Arusha pia. Huwezi juwa mambo ya ndani kati ya wawili hao.

DAWA YA DEN KULIPA cdm isipewe lawama zisizo na msingi.
 
Hakuna deni hapo ni uhuni mtupu watu tunajua bana kwani ameshindwa kumdai sehemu zote mpaka akamdai ofisini kwa msajili,sote tunajua kuwa yule kijana katoka arusha kwa kazi moja tu ya kuja kufanya fujo kwa mwigamba ili mwigamba ahamaki ashindwe kuendesha chama chadema mlianza na shetani mtamaliza na shetani.

Wakati wanakopeshana ulikuwepo? Kama unaona uchungu si ukamsaidie kulipa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom