Mwiba Holdings Limited | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwiba Holdings Limited

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by bornagain, Mar 2, 2012.

 1. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Jamani naombakujulishwa, hivi huyu mwekezaji wa kitalii anaejiita Mwiba HoldingsLimited aliemhonga mkuu wa wilayaya Meatu gari lenye namba T 147 ASX ni mzawa au ni mwekezaji kutoka nje? Maanainasikitisha sana kuona wananchi wazawa wananyanyasika katika ardhi ambayomababu zetu waliipigania kufa na kupona lakini mtu mwingine anaendelea kunemeka kupitia mgongo wa walalahoi inauma sana. Na pia inasikitisha sana hivi mbunge wa hawa wananchi yupo wapi au yeye anaonekana siku ya kupigiwa kura tu.
   
 2. d

  dav22 JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,902
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  hiyo ni gari aina gani kwanza???
   
 3. Analogia Malenga

  Analogia Malenga JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,093
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  kaka c unajua wakoloni walivokuja mara ya kwanza waliingia mkataba na watem? Na leo ndo hvo hivo wanaongea na wazito halafu kama kawaida
   
 4. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mzee peleka pccb watafanyia kazi na kubaini ukweli...
   
 5. PENDING'ULA

  PENDING'ULA JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 269
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hoja yako inagusa hisia za kila anayeipitia, lakini ipe data za kutosha ili iweze kujadilika! Mfano aina ya gari, waathirika wameathirikaje n.k ili ushauri utolewe!
   
 6. Reserved

  Reserved Content Manager Staff Member

  #6
  Mar 10, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 750
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kabla hujapost tuhuma hapa hebu fanya uchunguzi kidogo uelewe na upate taarifa sahihi ndo uje hapa na tuhuma hivi
  Kuna sheria na kanuni ambazo ziko wazi kabisa ambazo huyo mbunge unayemsema alishiriki kuzitengeneza
  Hifadhi ya jamii ya makao wilayani meatu iko pale kisheria na ilianzishwa kwa mujibu wa sheria na kanuni
  Hao wanaolalamika kuwa wanahamishwa kwenye ardhi ya mababu kasome pia hiyo hifandi ilianzishwaje na kwa nini now wanahamishwa
  Hiyo tuhuma ya mkuu wa wilaya anaweza kukushtaki iwapo hutakuwa na ushahidi wa kuthibitisha madai yako. Na kama una evidence za kutosha pccb wapo kukusaidia zaidi
  Usimtuhumu mtu iwapo huna ushahidi kuthibitisha madai yako
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Babu zako ni kina nani na waliipigania wapi hiyo ardhi?

  Mnalala kwa uvivu mkistuka wenzenu wameshafanya mambo yao halafu mnakuja kulalamika kijinga.
   
 8. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #8
  Mar 10, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,593
  Likes Received: 18,589
  Trophy Points: 280
  Bornagain, usiwe mvivu, just google Mwiba Holding utapata kila kitu, ila kwa kukusaidia tuu, hiyo ni kampuni inamilikiwa na kujana mzawa wa Kitanzania, Nyaga Mawalla, ambaye ni wakili hapo Arusha. Kijana ni very bright na very inteligent, hivyo umiliki wa maeneo mbalimbali na vitegauchumi vyake ndio ukombozi wa kweli wa wakazi wa maeneo hayo. Tatizo Watanzania wengi ni watu wa majungu, fitna, zengwe, uwongo na mawivu kibao kwanini yeye?!. Mali akimiliki mzungu au mhindi huwa ni poa tuu, ila akimiliki mswahili mwenzetu ni nongwa!.

  Usitake kuleta nongwa zako hapa!. Kama kampuni imetoa gari wilayani whats a big deal?, Gerald Pasanisi, anayemiliki vitalu vya uwindaji kwenye mbuga ya Selous amewahi kutoa magari 36 aina ya landcriuser za mkonga kusaidia kikosi cha kuzuia ujangili, mbona hukusema wamehongwa, au kwa vile ni mzungu?!. Acheni hizo!. Nyaga Mawalla endelea kusonga, mbele kwa mbele, mwendo mdundo!.
   
 9. M

  Mmatengo Member

  #9
  Mar 7, 2016
  Joined: Feb 27, 2016
  Messages: 13
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 5
  Wametanguliza pesa mbele kushinda sheria ambazo wamekubaliana
   
 10. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #10
  Mar 7, 2016
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Umeskia waziri mkuu amewapa siku ngapi hawa wawekezaji? Amewapa siku saba wajisafishe la sivo hati yao ya uwekezaji inafutwa mara moja
   
Loading...