Mwezi wa RAMADHANI ndio umefika ila please tuvumiliane

Mwezi wa RAMADHANI ndio umefika ila please tuvumiliane

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,709
Reaction score
35,712
Ni juzi tu 04.04.2021 Wakristo tulimaliza mfungo wa kwaresma

Tokea Kwaresma inaanza hadi inaisha hatujawahi kuwapangia watu (dini yoyote) ni vitu gani wapost kwakuwa sisi tupo kwenye mfungo.

So na sasa mambo yawe yale yale msianze kutupa masharti ya nini cha kupost kwenye mitandao ya kijamii na nini sio cha kupost acha dunia iendelee kama miezi mingine, mambo ya mihemko acheni kabisa.

Pia sitegemei sisi wafanya biashara wa Kitimoto tuathirike kipindi hiki maana watumiaji hatujafunga tukiona mabadiliko yoyote tutajua kuna watu walikuwa wanashirikiana na sisi.

Nimemaliza!!!!!!
 
Pia sitegemei sisi wafanya biashara wa Kitimoto tuathirike kipindi hiki maana watumiaji hatujafunga tukiona mabadiliko yoyote tutajua kuna watu walikuwa wanashirikiana na sisi.

Nimeanzia kusoma hapa ..ngoja nione mwisho utaishaje
Kwani uongo mkuu???

Wasabato na waislam hawatumii so tuliobaki tunaendelea na ratiba zetu so rate ya biashara yangu itabaki constant

any drop in sales will spark........................... some questions
 
Ni juzi tu 04.04.2021 Wakristo tulimaliza mfungo wa kwaresma....
Lakini pia utambue Kuna mambo kwenu nyie wakristo hayawi dhambi lakini kwa wenzenu waislamu ni dhambi.

Mfano wenzenu waislamu kitimoto ni haramu kwao lakini nyie wakristo mnaruhusiwa kumla kitimoto,au kusema yesu ni mwana wa mungu ni sahihi kwa ninyi wakristo lakini wenzenu waislamu mungu wao hakuzaa wala hakuzaliwa na hana mwana.

Sasa kwanini wewe uwawekee masharti watu wa dini nyingine?

Ushauri wangu kwako kama unatambua ustaarabu na unaheshimu dini ya mwenzio basi kwa nyakati kama hizi huyo kitimoto ni vyema ukawa unamla sirini na mengine ambayo unaona hayawapendezi waislamu hususani kwa nyakati hizi pia uyafanye sirini.
 
Hawachelewi kulalama kama kawaida yao, halafu utashangaa wadada wanaotembea nusu uchi watapungua hapo ndio ujiulize ni akina nani wanavaaga hivyo??
Yaani utadhani wamelazimishwa,na hata wizi na ujambazi pia huwa unapungua sana kipindi hiki,ndio wakati wa kuanika nguo usiku na asubuhi ukazikuta salama salmini...
 
Lakini pia utambue Kuna mambo kwenu nyie wakristo hayawi dhambi lakini kwa wenzenu waislamu ni dhambi...
Una ugonjwa wa akili si bure. Yaani nitoe hela yangu mfukoni ninunue kitimoto halafu Nile kwa siri?

Nile kwa siri kwa sababu ya imani yako ambayo mimi siiamini?

Tusipangiane maisha...Hiyo hela umenitafutia wewe?
 
Back
Top Bottom