UtdProfile_
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 327
- 421
Kumekuwa na sitofahamu kati yangu na mchumba ang, last dance ilikuwa kama miez 4 iliyopita.. na kila nikimpangilia kuja ghetto ni kipengele aisee nifanyaje?
Unajua kubaka kosa mkuu 🤕🤕🤕Mbake
We jamaa 😂😂😂😂Akikunyima mpe wewe
Kikubwa uchumba TU mbnaa nagaramia lknMchumba hana ulazima wa kukupa ngono, kwanza huo uchumba unafahamika kwa wazazi au ni uchumba bubu?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kama ana kunyima unyumba muombeeni akuongezee ushamba ambao tayari unao...
Daaah sema ww jamaaa😂😂😂🙌🙌AKIKUPA Kifuatacho ITV
Ushauri wa Maana lkn daaah ngoja kwanzaNa wewe mnyime hela
Una muita mchumba wako, umelipa mahali kwao na unatambulikana ?Kumekuwa na sitofahamu kati yangu na mchumba ang, last dance ilikuwa kama miez 4 iliyopita.. na kila nikimpangilia kuja ghetto ni kipengele aisee nifanyaje????