Mwezi wa 7 huo! Ajira 52, 000 ziko wapi?

Suala la ajira kwa tz yetu ni ndoto za alinacha, kwa walimu tuliosomea sanaa pamoja na wale wa certificate nadhan ni kama ndo jua linazama hivi kwa hiyo kilichobaki ni kuangalia uelekeo mwingine tu, hapo hakuna namna coz maji ni kama vile yasha mwagika kuyamwagua ni kazi bure sawa na kutwanga maji kwenye kinu.

Shikamoo serikali ya ma... Natumaini uu mZima
Aisee na kwel shikamoo watoto wa masikini tutaendelea kusota tu.
 
unazani zitatoka kwa pamoja 50000s... kuna utarajibu na ndio huu mwezi wa saba na wameanza na ajira hizo wakimaliza wataleta zingine.... na kwa wale wafatiliaji wa mtandao wa ajira, huwa wanatoa ajira zingine pale deadline ikifika au kukaribia ya ajira zilizopo na muda mwingine wakisha ita watu katika interview ndipo wanatoa ajira zingine au kukiwa na venue tofauti za kufanyia interview hapa huwa wanaita zaidi au kutangaza ajira zaidi...

ndg. tusiwe na asila ila tuvumilie wakuu...
 
Tuzihesabu basi kama zinafika 52000...na huu Si Ndo mwez Wa 8

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MBONA WAMETANGAZA NYINGI TU NA ZINAENDELEA KUJA KIBAO WALIANZA TRA,WIZARA YA AFYA,ALMASHAURI,SASA WALIMU NA WATAENDELEA SECTOR ZINGINE MSIWE KAMA MAZWAZWA MSIOFUATILIA...
 
Back
Top Bottom