Mwezi wa 7 huo! Ajira 52, 000 ziko wapi?

Mwezi wa 7 huo! Ajira 52, 000 ziko wapi?

Bandari mpaka Leo kimya

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Pitia mitandao ya ajira ndugu..ajira zimeshaanza kutoka kwa wingi sana.
 
Wahitimu hususani sisi wa kada ya elimu tutaisoma namba sana tu hadi ajira zikitoka umri wa kustaafu umeshafika sijui tutaenda kudai mafao!!
 
Back
Top Bottom