Mwezi wa 7 huo! Ajira 52, 000 ziko wapi?

mkata-mkaa

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
296
181
Serikali mlisema mtamwaga ajira 52,000 mwezi huu wa saba mwa vijana walio mtaani, lakini naona kama kimya. Na vipi kuhusi mishahara mipya wadau, kuna anyejua imeongezwa asilimia ngapi?
 
Duh

Haujui pa kwenda kuuliza!?

Umeandika kama kiudaku hivi, kuwa unatamani iwe hivyo... ka vile hata labda ungeitwa kwenye interview ungepata kazi kama hizo.
 
Labda uvumilivu uwe hadi 2020 ! vinginevyo
tumeingizwa chaka.
ajira ni ya policcm,kukamata na kuburura wapinzani.
Ajira ni ya maspika kuo
nea wapinzani bungeni,
lakini ajira sio kwa sisi
Walala hoi,tukaa sana.
 
Suala la ajira kwa tz yetu ni ndoto za alinacha, kwa walimu tuliosomea sanaa pamoja na wale wa certificate nadhan ni kama ndo jua linazama hivi kwa hiyo kilichobaki ni kuangalia uelekeo mwingine tu, hapo hakuna namna coz maji ni kama vile yasha mwagika kuyamwagua ni kazi bure sawa na kutwanga maji kwenye kinu.

Shikamoo serikali ya ma... Natumaini uu mZima
 
Poleni sana
 
mvumilivu hula mbivu mwezi bado haujaisha ndio kwanzaa juma la kwanza
 
Yaani ccm kila kitu kupinga tu,sijui akili zenu zipo kwenye kinyelo kama keneth kinyelo

Eti CCM!!!!

Ona ulivyoandika maneno machafu kuonyesha ulivyo hivyo.

Jisikitikie isipotosha jipe vibao vya usoni, niliyoandika yanasimama.
 
Serikali mlisema mtamwaga ajira 52,000 mwezi huu wa saba mwa vijana walio mtaani, lakini naona kama kimya. Na vipi kuhusi mishahara mipya wadau, kuna anyejua imeongezwa asilimia ngapi?
Mlishaambiwa ajira ni mpaka mwakani 2017 April, wewe ulikuwa wapi kusikia.
 
Back
Top Bottom