Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

Wanaofunga upande wa Ulaya: Je inawalazimu kufunga kwa masaa mangapi? Ikizingatiwa kuwa huu ni wakati wa Summer na jua uwaka kwa zaidi ya masaa 12?
 
Mi naomba mwaliko wa futari tu...

karibu sana kwa futari mujarabu na ukiweza na wewe waweza futurisha watoto yatima, wazeee na waislam wote kwa ujumla kwani ndo thawabu zenyewe.
 
Mamlaka ya Yemen imetangaza kuuona mwezi na kuanza kufunga on Suturday 28 June 2014. Aidha; some parts of US,BELGIUM,RUSSIA,ITALY,LEBANON na TURKEY Ramadhan ya 1 itaanza Suturday 28 June.

Nchi kama SAUDI ARABIA,EGYPT,JAPAN,MALAYSIA,UAE,JORDAN,PALESTINE,INDONESIA,SOUTH KOREA na KUWAIT mamlaka husika zimetangaza kuanza kufunga siku ya Jumapili 29 June 2014.

SOURCES: (1) Radio Imaan
(2) Global - News - OnIslam.net

Na ukapate kuisambaza taarifa hii muhim iwakfikie waislam wote haraka pamoja na wakristo owte ndugu zetu kwani na wao katika mwezi mtukufu hupunguza bei za bidhaa hasa za vyakula ili kuwarahisishia funga waislamu , Asante sana.
 
...mwezi mtukufu?! Hivi hii miezi mingine ni haramu?! Mimi napendekeza mwezi huu ungeitwa mwezi wa toba! Mwezi rasmi wa kutubu dhambi zetu na kuwa karibu zaidi na Mungu. Ni mtazamo wangu tu! Tusiute " Mwezi Mtukufu " uwe "Mwezi wa Toba "
 
Wanaofunga upande wa Ulaya: Je inawalazimu kufunga kwa masaa mangapi? Ikizingatiwa kuwa huu ni wakati wa Summer na jua uwaka kwa zaidi ya masaa 12?


Si unatizama jua sababu fajir ni kutoka kwa ju(sunrise) na maghrib (sunset) mie binafsi nkishaona jua limezama nala sisubir adhana

Alafu google sala time kwa location yako itakusaidia.....ila time ya sihri (daku) ndio itabidi uwe makini walau 2 hours before hiyo time ya fajir....

Alafu kuna application za adhana tafuta itakusaidia kila sala ikiingia simu yako italia
 
...mwezi mtukufu?! Hivi hii miezi mingine ni haramu?! Mimi napendekeza mwezi huu ungeitwa mwezi wa toba! Mwezi rasmi wa kutubu dhambi zetu na kuwa karibu zaidi na Mungu. Ni mtazamo wangu tu! Tusiute " Mwezi Mtukufu " uwe "Mwezi wa Toba "


Mwezi mtukufu sababu ndio ulioshuka the holy Qur-an

30 days zimekagiwa makundi 3 ikiwemo rehma,maghfira,toba
 
Back
Top Bottom