Mwenzetu tena wa UDOM ametutoka

iphoneman

Member
Oct 16, 2011
37
2
habar wana JF ni masikitiko tena katka cku iliyotarajiwa kuwa ya furaha kwa wana UDOM kutokana na mahafali lakini jana ucku {ijumaa} majra ya saa 3 ucku, mwenzetu 1 amefariki kwa kupgwa na radi na wengne kadhaa kujeruhiwa. Mungu atupe nguvu katka wakati huu mgumu na Mungu ailaze roho ya marehemu mahali panapostahili...
 
Poleni sana bwana! Majengo ya dodoma yanahitaji high protection kwakweli!
 
Why? walichukua vifundi mchundo kudesign lighting protection system nini?. Ndo matatizo ya kupeana tender hayo, the same applies to the roads, shule za kata, majengo ukiyaona unaweza kulia.Anyway, RIP mwanafunzi na poleni wanaUDOM.
 
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi
 
Why? walichukua vifundi mchundo kudesign lighting protection system nini?. Ndo matatizo ya kupeana tender hayo, the same applies to the roads, shule za kata, majengo ukiyaona unaweza kulia.Anyway, RIP mwanafunzi na poleni wanaUDOM.

Yaani hata Natural Disasters nyie ni siasa tu. Japo radi inategeka lakin kuna wakati mitambo inazidiwa na ku7bisha madhara. US kila cku myoto inateketeza mahekta ya misitu cjackia mnasema, au hamjui chanzo ni radi? Cheki hapa http://www.sky-fire.tv/index.cgi/lightning.html
 
Da aisee mnaposema majengo ya Dodoma nachoka haya majengo yemeota kama uyoga cha ajabu na kusikitisha haya majengo sidhani kama yatafika miaka hata ishirini siku moja nilitembelea pale nyufa kibao yaani wamepeana tenda wakaiba sasa impact tunaziona majengo mapya nyufa kibao aibu sana waone UDSM ILIVYOJENGWA UKIONA UFA hujuwe wamejenga juzijuzi but old buildings hayta kupiga tindo ishu
 
acha ujinga wewe mtu anatembea road anapigwa na radi wewe unakuja na story za majengo, chuki zako zinakupelekea uwe na uwezo mdogo wa kufikiri. Mlitaka hiki chuo ajenge rais gani ndio mufurahi?.... Bravo jk udom inatishaaa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom