G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,516
- 40,048
Mwanajamii mwenzetu Maarufu PRICE ana msongo wa mawazo na anahisi anaweza kufa kwa pressure muda wowote.
Anaomba mawasiliano yenu so mum-pm ili aweze kuwashirikisha mkasa mzima.
Asanteni.
Hii ID mbona mpya sana??? Mbona huyo Price mwenyewe hajajieleza??? kwel Jf tuko 25 na ID zaidi ya laki moja!!!
Last edited by a moderator: