Mwenzenuu, usiku leo silali,
Nateseka usingizi sipati huwa nabaki nahangaika,
Kuyasema yote, ninayaona siwezi, yasije yakaleta, udadisi kwa watu bure
Shahidi yangu ni mama watoto, yeye anajua,, kwani huwa aniona ninavyohangaika
X 2
Naalalaaaa, kwa kwa tabu mie, walisema watu lisemwalo kama halipo laja
..X 2
Ingekuwa ni ndoto wala mimi nisingejali oooo, nawaelezea enyi walimwengu muyajue mateso yangu
..
Naalalaaaa, kwa kwa tabu mie, walisema watu lisemwalo kama halipo laja
..X 2
Uwaonao wazuri, wabaya ni hao haooo
. Tena wapo humu humu JF
Amini usiamini kukuchekea sio kufurahi na we dada aaaa
.
Naalalaaaa, kwa kwa tabu mie, walisema watu lisemwalo kama halipo laja
..X 2
**************************************************************
Leo nimekumbuka wimbo huu wa Sikinde enzi hizo nikiwa bado damu inachemka.......................